Recent content by kilagani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Ahaa sawa na ukata huu ?wali wa kushiba huonekana kwenye sahani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ikungi wameonesha inawezekana

    Mbona sijakusoma kijana umeandika nini .Pangilia tena ulete uzi upya.sawa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Na watamkamata mpaka lini maana kesi nyingi anazofunguliwa hazina mashiko kabisa Tanzania demokrasia bado ni vile tu mashinikizo kutoka nje.Ila kila mwanzo una mwisho aidha mzuri au mbaya pia yupo msemaji wa mwisho ambae ni mungu muweza yote .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

    Mnafiki ni wewe ambae hukusikiliza dodoma unadandia tu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

    Hivi mnajua kwa nini wanamuogopa lowasa wanajua aslimia 100 edo alishinda kwa kishindo ila jamani ni vigumu kutamka kuwa alitushinda tukamfanyia figisu ila haki ya mtu huwa haipotei bali inacheleweshwa tu.yupo msemaji wa mwisho ambae ni bwana God ulimwengu hawataamini.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

    Jamani huu wivu ni shida pambana na hali yako acha maneno maneno hayakusaidii kitu mtu akibarikiwa shida binadamu mmhhh.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

    Ilitakiwa mume alivyoiona angekauka tu rafiki rafiki na kumuonya huyo dada asirudie kufanya hivyo tena maana hii dunia ina mambo mengi si ajabu hata mume amefanya makubwa kushinda hayo kwa vile hayajaobekana tu angepiga kimya wala hakuna mtu angejua zaidi ya huyo rafiki yake.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikeke ambana Maalim Seif

    Ukiona hivyo ujue salimu kikeke nae ni kijani.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sera ya viwanda ikitimia 2020 nitahamia CCM

    Hata mie nitavaa kijani kabisa na kutembea kifua mbele pamoja na kuwa hiyo rangi sipendi kabisa ila kwa kuwa itakuwa nchi ya viwanda nitavaa kabisa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mahojiano Azam Two TV: Funguka na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson

    Mungu yupo jicho lake linaona kila mahali atatoka siku asio idhania hakuna binadamu ajuae kesho yake wote sisi ni vipofu .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    Huu uzi tunapotezewa muda jamani kuna uchumba wa siku 2 na mahari juu we sio kabisa ndio maana hata mchumba kaamua kugegedwa kwingine maana amekuona hata wewe sio .
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mie natumia Innosence rasasi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sc.kikundi kipya cha ushangiliaji

    Haya bwana kikundi kipya cha ushangiliaji hongereni sana.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Jamani swala la mapenzi na kuachika mbona siku hizi ni kawaida tu kwa mapenzi ya kibongo ndoa zenyewe asilimia 95 ziko mahututi watu wanavumiliana tu kwa vile wanawatoto mtu anaangalia watoto zaidi .Itakuwa wewe dada huna hata mtoto nae ?mapenzi mazuri ni ya wenzetu majuu tu ya mkataba mkataba...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari za kata zitakuza zaidi tofauti za kielimu kwa waumini wa kikristo na kiislamu

    Shule za kata hazifanyi vizuri kwa sababu kisilabasi wako nyuma sana unakuta private wako silabasi ya 10 kata wako ya 5 lakini kwenye mtihani wa taifa hawajui kuwa wengine hawakufika huko maswali yanatolewa sawa .Na walimu wa shule za kata wala hawajali kama nyuma na wanajua kabisa .Ukiona...
Back
Top Bottom