Recent content by kilaboy

  1. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

    Ukweli usiopingika mkuu
  2. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

    Hakika kila mmoja ana yake aliyowahi kuyafanya sirini au anaendelea kuyafanya sirini. Binadamu tukifanikiwa katika jambo moja la kusitiriana, basi tutaishi maisha matamu sana
  3. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Watanzania na unafiki wenye tija, sasa ni muda wa kumpamba Mama yetu Rais Samia Suluhu

    Hapa kweli umesema Ncha Kali
  4. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Je, iwapo Spika ni Mbunge ni wakati gani anakula kiapo cha Ubunge mbele ya Bunge?

    kwa mujibu wa kanuni za bunge. Mara baada ya uchaguzi wa spika, basi katibu wa bunge ndiye anayemwapisha Spika .
  5. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Azam king'amuzi wanaamini Watanzania ni wajinga

    Hawa jamaa ni matapeli kweli ase. au niseme ninwezi wanaotumia akili nyingi.
  6. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

    Mkuu habari, vp ulifanikwa kupata jibu la swali lako? Na je unafanya kilimo cha Passion? Maana mimi nataka nianze kulima ila nataka nipate uzoefu
  7. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    kumbe ni rahisi kama hivi
  8. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    najaribu
  9. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

    Mkuu habari. Nimesoma uzi wako hadi nikakuonea huruma. Ipo hivi, kwanza unatakiwa kupata password yake ya fb. Baada ya hapo unaingia kwenye account yake kupitia simu yako, na ukishaingia mara moja tu basi mchezo utakua umekwisha, maana utakua huna haja tena ya kushika simu yake. Na hapo muda...
  10. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa

    Hongera sana kiongozi, maana umeamua vyema sana na ninakumbea mafanikio katika hatua hiyo.
  11. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Hanger za nguo za watoto

    Habari zenu wana jamvi wenzangu. Tafadhali nina uhitaji wa hanger kwa ajili ya nguo za watoto. Kwa yeyote mwenye kujua chimbo kwa Dar tafadhali nifahamishe na ikiwezekana niunganishe na mhusika. Mimi nipo Tanga. Natanguliza shukrani.
  12. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Mapishi nisaidieni Haya ndio maviungo gani!

    Hayo ni kwa ajili ya good aroma kwenye chakula. Yaweza kua majani ya mchungwa/mlimao/mdalisini n.k
  13. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Mkuu hongera sana na ahsante kwakutuhamasisha. Ila mkuu nahitaji kujua naweza kuanza na eneo la ukubwa gani na pia umbali kati ya mpapai hadi mpapai ni kiasi gani? Natanguliza shukrani kiongozi
  14. kilaboy

    JamiiForums Tanzania Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

    Mkuu jaribu hii kitu naamini itakusaidia sana. Chukua Ngogwe za kienyeji 6 zikate katikati ili kupata vipande 12, changanya na maji vikombe viwili kisha chemsha bila ya kuweka kitu chochote kwa muda wa dakika 10 bila kufunika. Kula vipande vyote 12 ukishushia na supu yake, vyote vikiwa vya moto...
Back
Top Bottom