Ndiyo ntaona laliga na Europa startimes[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji23] Startimes
sana mkuu huyo jamaa anifurahisha sanaunampenda makohaš¤£
SureKaeni mjue .Cheap is expensive....
Mimi kifurushi changu ni kile kilichokua cha 23,000/- ambacho Sasa kitakua 20,000/-. Je ni channel gani watakua wamepunguza humu ili nikizihitaj I nipande mpaka cha 28,000/- ambacho hakijapungua Bei?
Nataka nianze kujiandaa kisaikolojia kabisa
Yani nilipie 23,000/= kuangalia sinema zetu? Huu utakua ni uduanzi nakitelekeza haki ya nani bora nitafute series tu za mwez mzima nikiwa Sina kaz nichek
Duh! Mimi nilijua Chanel ziko pale pale ila bei bure kama tangazo lao lilivyo kumbe ni makanjanja tu! hatari sana
Mimi huwa nanunua cha mwezi elf18 hapo nakosa chanel gani mkuu
King'amuzi ni kimoja tu DSTV
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ninamkubali Oleksanda sijui nimepatia jina yule mzee wa supu ya mutura. Mkuu hawa jamaa ni noma.sana mkuu huyo jamaa anifurahisha sana
Ndio ishakuwa mtafanyaje sasa....!?Kweli kabisa mkuu, asante kwa kuliona hilo pia.. Mwenyewe nilidhani kifurushi cha 13000 nitaweza kuona hadi mpira kumbe ni tofauti.. Kiukweli wametumia mbinu za kjinga sana kutufanya sie wajinga..
Azam Masoko ni ******* sana..
Hakuna chizi hapa kila MTU kapita shule hapa
Bila Ushindani Watatuuwa Hawa WatuNdiyo ntaona laliga na Europa startimes
kifurushi cha 19000 DSTV kina channel gani mkuu?TCRA watakula nao sahani moja. Mbona hili hawakutangaza?Kuwa kutakuwa na mabadiliko ya channels.Ni zaidi ya ulaghai.
DSTV ndio king'amuzi mkuu. Hamia huku