Recent content by Kihorohonjo

  1. K

    Siku ngapi zinahitajika kurudishiwa pesa na NBC bank baada ya muamala kutokamilika?

    Wadau, Nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kwa njia ya simu, bahati mbaya pesa sikuipata. Nilianza kufuatilia kwa kupiga simu NBC baada ya siku moja. Majibu ni kuwa pesa yako itarudi ndani ya saa 24. Leo ni siku ya tisa pesa haijarudi. Nimefuatilia kwa kupiga simu kwa huduma kwa wateja na...
  2. K

    Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

    Kwa kuwa tayari wamefahamu juu ya hizo video zao, ni adhabu tosha kwao. Futa kabisa katika computer yako.
  3. K

    Msaada: Tofauti ya maneno haya,

    Na siyo Kila anayetazama anaona na anayeangalia anatazama.
  4. K

    How Many Girlfriends or Boyfriends Have you Dated So Far

    Any positive number but not zero.
  5. K

    Msaada naandika research propasal on ''the social and environmental effects of kagera war 1978-1979.

    Kama ni vigumu kwako kupata literatures, utaweza kweli fanya research? Nashauri tumia mtandao pia kupata materials.
  6. K

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Pole sana kwa kumpoteza mama. Mungu akupe Nguvu.
  7. K

    Mabinti zetu club!

    Ulitaka avae kanga ama kitenge? shauri pia mavazi ya kuvaliwa club.
  8. K

    EDWARD NGOYAI LOWASSA atatoa maamuzi mazito kati ya tar 18/02/2013

    Ni upuuzi kujadili mambo yaliyopita. Tarehe 18/02/2012 ilipita takribani mwaka mmoja uliyopita.
  9. K

    Waziri wa mambo ya ndani atia maguu Buseresere, ngoma yawa nzito kwa maaskofu

    Kazi kweli kweli. Hapo nadhani tatizo si kuchinja Bali in kupungua kwa wateja katika mabucha ya waisilamu.
  10. K

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Jamani tuache kudanganyana. Hakuna haja ya kuwa na Tume wakati serikali inadai mikusanyiko/maandamano si halali lazima yazuiwe. Sasa kama walienda kuyazuia kwanini wanaunda tume na kupoteza rasilimali chache za Taifa.
  11. K

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Real amizing. Blessed TZ.
  12. K

    Mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jeshi la polisi

    Kazi hutangazwa na kuwekwa wazi aina na sifa za mwombaji. Kama anahitajika kamishina wa polisi sifa zake za kielimu na uzoefu zitawekwa. Hivyo mshahara hutegemeana na nafasi na aina ya kazi uliyoomba na kuajiriwa na siyo degree.
Back
Top Bottom