the 2nd anafahamu id jf nini?
the 2nd anafahamu id jf nini?
pia nafurahije hata kama yumo hatujuani id zetu so full raha tu.
mshikaji alinihesabia anaowafahamu wakajaa costA na wengine wakabaki. na hapo wengine sijawahi kumuambia. mie wengi nimewasahau mpk nikutane nao ndo nakumbuka
mbona sasa unaweka ???????????????????????? Badala ya kujibu post yangu hapo juu kuhusu one night stand au no string attached.....
sijakuelewa ndio maana nimeweka ????????
niambie mbona umeweka mmmmmmmmmmmmmh! Ok.
hata hajui kama nipo jf kabisa nilishamwambia kuhusu jf ila hakunionyesha support. Na sijawahi kumwambia tena hata kama nipo.
niambie mbona umeweka mmmmmmm
itakuwa hakuwa anataka ujue id yake......:wink1:
one night stand- unabang once with someone kesho yake kila mmoja anaendelea na mambo yake kama hamna kiyu kilichotokea kati yenu.........inakuwa mmeyaacha pale pale.
No string attached- mnabanga , having good time , having friendship lakini inapokuja suala la commetment au kufuatiliana hamna kitu kama hicho ( kuna movie inaitwa no string attached itafute itakupa picha.)
so ,how many?
No record, but I hope not less than 500, including 5 JF members.