Mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jeshi la polisi

Sio tofauti na ofisa aliyeajiriwa serikali za mtaa. Ni ile ile 480,000 basic salary
 
Kazi hutangazwa na kuwekwa wazi aina na sifa za mwombaji. Kama anahitajika kamishina wa polisi sifa zake za kielimu na uzoefu zitawekwa. Hivyo mshahara hutegemeana na nafasi na aina ya kazi uliyoomba na kuajiriwa na siyo degree.
 
Ckia utaratibu upo hivi degree huanza na cheo cha assistant inspecta mim nlikuwa nataka kujua assistant inspecta ananzaj
 
Mshahara wa kuanzia mtu wa degree polisi ni kama sh 20000 hivi,kwani utaanza na cheo cha Constebo na waweza kukaa nacho hadi mwaka kabla ya kufikiriwa kwenda kozi ya nyota,kwenda nyota sio automatic hivyo we take kuwa mshahara wa kuanzia ni ule wa constable pamoja na posho ya laki na nusu.Ukimaliza nyota if you are luck after atleast two years of joining the force then mshahara unapanda na kuwa wa Assistant Inspector ambao ni kama 35000 hivi if I am not mistaken.
 
Mbona maendeleo yako mbali kwa hiyo mishahara? Tena sisi wengine hata chuo hatujaanza ndugu wanaonesha wanakusubiri kwa hamu sana
 
wana jf naomba mnijuze mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jesh la police ?

Degree yenyewe hujaanza then unaulzia mshahara,,nyie ndo mtapata frustration baada ya kumalza chuo mtakapoona hamtimiz mlivyokuwa mnafikiri
 
makamuzi ,huna adabu kabisa yan wewe umeamua kulumbana na mim kama huna majib kalale so ulete malumbano na mim alaa
 
wana jf naomba mnijuze mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jesh la police ?

Aisee kule hulipwi kutokana na elimu yako,cheo ndio kinamata!Na vyeo unapandishwa kwa kila baada ya muda fulani.

Na ukitaka upete uwe na atleast certificate ya laws...mambo yatakua mteremko!
 
degreee za science......millioni 2
degreee za biashara laki 7
degree za arts laki tatu na nusu....maelezo zaidi visit website yaoo
 
Back
Top Bottom