Mabinti zetu club!

Mabinti zetu club!

Maisha magumu jaman anasahau kwa muda mufupi ? But tutafika kwel

Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
Ile ni beach party,ulitaka wavae kama mama Rwakatare kanisani?yaani mdau huoni kwamba zile ni nguo za beach? angalia watu akiwa ktk beach party wanavaaje...acha umbea wa kishamba huo..kwa hiyo ungekuwa wewe ungebaka wale mabinti pale possible unatabia za kubakabaka wewe...shame on u.:A S angry:
 
Naona sawa, maana huwezi vaa ushungi au kanga hapo

Nakubaliana na wewe. Lakini naona kuna ushamba fulani kwani hiya aina ya sidiria aliovaa sio ya kuwa nje. Kangevaa zile zenyewe basi. Umenisoma?
 
Hata kama kapo club...kadada kamebugi kivazi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom