Recent content by Kihame tz

  1. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

    Ok nmejarbu kuwaelewesha ila naona wengi wenu hampo kwaajl ya kuelewa ila tu ubishi usio na faida...Endeleeni kuamn uo upotoshaji
  2. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

    MUNGU atakulipa kwa kuendelea kueneza Aya feki...Acha tumuachie yeye mana ndo mbora wa walipaji.
  3. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

    Haya MUNGU atakulipa kwa haya unayoyafanya....endelea tu.
  4. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

    Hakuna Aya wala nakala yoyte katka uislamu inayosapoti mwanaume kumwingilia mwanamke kwa nyumaa...ni haramu na dhambi yake ni mbayaa kuliko dhambi yoyoteee ileee....kuhusu io hadithi ni kua swahaba alienda kwa mtume na kulalamika huku akilia kua amefanya dhambi ya kumuingilia mke wake kwa...
  5. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

    Kiongozi hiki kitabu ulichokitumia mbona kimeandikwa hovyoo...ni kitabu cha wasio na dini kilichobadili Aya na tafsiri ya Quran kwaajili ya kuuchafua uisilamu...Ila muogope Sana MUNGU na ipo siku utaulizwa juu ya uongo na uu uchafu unaousambaza kwaajili ya kuuchafua uislamu......Muogope Sana...
  6. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Omba Toba kwa MUNGU.....
  7. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara inafanana kwa taasisi tofauti zinazotumia scale moja?

    Yaani mfano mtu wa TBC mwenye salary ya PGSS 6, je anafanana na mtu wa TAFIRI mwenye PGSS 6 ki mshahara, au wanapokea pesa tofauti?
  8. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana JF PGSS 6 salary scale inaanzia ngapi?

    [emoji44][emoji44][emoji44]...oy nko serious kaka
  9. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana JF PGSS 6 salary scale inaanzia ngapi?

    Google haipo io Kaka
  10. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana JF PGSS 6 salary scale inaanzia ngapi?

    Kwa anaejua io salary scales ya PGSS 6 ni ngapi anipe info.
  11. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu mainjinia wa meli ya Titanic?

    Yah it's true coz kna matajri wawili ilibdi wafe Mana walkua wanapnga kutokeakwa WW II
  12. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tukisema makanisa ni taasisi za kibiashara na kiutawala kwa mgongo wa imani watu huchukia?

    Amna makanisa dunian ila ni vikundi tu vya wafanyabiashara
  13. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Dar kumejaa wanawake wazuri sana

    Kaka ujakosea ni ukwel mtupu...ila ao jamaa wanaupnga ukwel tu [emoji3577][emoji3577]
  14. Kihame tz

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la kocha wa timu yoyote anayekaribia kufukuzwa kazi

    Olegunar
Back
Top Bottom