Kihame tz
Member
- Mar 23, 2018
- 15
- 15
Ok nmejarbu kuwaelewesha ila naona wengi wenu hampo kwaajl ya kuelewa ila tu ubishi usio na faida...Endeleeni kuamn uo upotoshajiHicho kitabu ndo Cha dini yenu na mnakiamini daa tumeisha
Ok nmejarbu kuwaelewesha ila naona wengi wenu hampo kwaajl ya kuelewa ila tu ubishi usio na faida...Endeleeni kuamn uo upotoshajiHicho kitabu ndo Cha dini yenu na mnakiamini daa tumeisha
Lete andiko kuthibitisho hiloWale walikuwa wanapinga ushoga lakin Kwa kupiga wanawake it's seems to be okay😏😏😏
Hivi Mokiti mpaka lini utaacha ujinga mkuuMuhammad alikuwa ana copy mpaka aibu , ka copy visa vya sodoma na Gomorra kutoka wayahudi na wala hajafanya acknowledgement huo ni wizi wa kazi plagiarism
Ukiwa huna hoja ya kusema huwa mnatafuta pa kukimbiliaKila tabia chafu ni ya hiyo dini kasoro usagaji
Kujiuza
Madawa ya kulevya
Kuiba
Ujambazi
Uganga
Utapeli
Asante mkuu Kwa kuliona HiloKiongozi hiki kitabu ulichokitumia mbona kimeandikwa hovyoo...ni kitabu cha wasio na dini kilichobadili Aya na tafsiri ya Quran kwaajili ya kuuchafua uisilamu...Ila muogope Sana MUNGU na ipo siku utaulizwa juu ya uongo na uu uchafu unaousambaza kwaajili ya kuuchafua uislamu......Muogope Sana MUNGU na ikikupendeza naomba ufute io nakala
Ungejibu tu visa vya wayahudi na Jehovah Muhammad na Allah walivitoa wapi?Hivi Mokiti mpaka lini utaacha ujinga mkuu
Grow up man
Sawa mkuu endelea kujifarijiAstaghfirullah, ndo kufanya nini huko?
Waarabu mna michezo mingi yakhe!
InshallahHaya MUNGU atakulipa kwa haya unayoyafanya....endelea tu.
Wengi wao mkuu ni Wajinga mno juu ya mafundisho ya Uislamu lakini kwasababu Tu wamejawa chuki wapo tayar kubadilisha kweli iwe uwongoHakuna Aya wala nakala yoyte katka uislamu inayosapoti mwanaume kumwingilia mwanamke kwa nyumaa...ni haramu na dhambi yake ni mbayaa kuliko dhambi yoyoteee ileee....kuhusu io hadithi ni kua swahaba alienda kwa mtume na kulalamika huku akilia kua amefanya dhambi ya kumuingilia mke wake kwa kupitia nyuma ( doggy style ) na sio kwamba alimuingilia kwa utupu wa nyuma....na mtume akamjibu kua kinachokatazwa ni kumuingila kwa utupu wa nyumaaa ( anal sex ) ila Unaweza kumuingila kwa style yoyte ile maadam unapitia tupu ya mbele Hta kma ukitumia kwa nyuma yan ( doggy style )
Swadakta mkuuMUNGU atakulipa kwa kuendelea kueneza Aya feki...Acha tumuachie yeye mana ndo mbora wa walipaji.
Nadhani wajua fika msimamo wangu juu ya kujadiliana na wapuuziUngejibu tu visa vya wayahudi na Jehovah Muhammad na Allah walivitoa wapi?
Asante Sana mkuuQur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.
Lakini cha kushangaza katika Biblia, ukisoma hicho kisa cha LUTU ambao wao Wakristo hawamtambui kama Nabii, haijaonyesha Dhahiri kuwa vitendo vilivyokuwa vinafanyika pale ni vya kuingiliana Wanaume kwa Wanaime (Ushoga).
Bali Biblia imekazania tu Uovu, Mara Uovu ulizidi. Uovu huo ni uovu gani? (Mbona Biblia haijakuwa Specific kwamba ni Ushoga? Wote tunajua Uovu upo wa dizaini nyingi.(Kama Usiue, Usizini, na n.k.)
Ndio maana sishangai mda mwingine Ukristo dhehebu kama Roman Catholic unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
Pamoja Sana mkuuMkuu umetema facts sana
Ucha ushoga mkuu sio mzuriNyie ndo mnaleta ushoga huku mada za kigasho Kila siku
Kisa Cha lutu Muhammad kaiba kutoka wayahudi na hakutoa acknowledgement, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa.
Lutu kwenye biblia sio nabiiQur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.
Ongelea mada husikaLutu kwenye biblia sio nabii
Nimemjibu Alie andika upuuzi Makachu Anaesema kwenye biblia hakujakatazwa ushoga na wewe ukamsifia , acheni ujinga wewe na yeyeOngelea mada husika
Wapuuzi Kama nyinyi mnauongelea Uislamu
Sio kila mada uchangie next time pita Kulia mkuu itakuwa salama kwako