Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Mkuu ni kweli kabisa hakuna mwanaume ambae kama ile njia ingekuwa sahihi asingeipita ila wakuu tujitahidi sana kuipuka kwani ile njia ni mbovu... Tumuombe Mungu wetu pia atuepushe tusikutane na wanawake wa aina hiyo... Binafsi mimi hizi siku za karibuni siwafichi ni kama wanawake watano tofauti tofauti naona nguo zao zinaloa sana unyevu sehemu ya haja kubwa... Wangekuwa wanaume ningesema ni jasho la vinyweleo ila ni wanawake sasa... Asee michezo imeshamiri..... Epuka mavi.
Hatar Sana mkuu Hali ni mbaya Sana

Sio Siri walio athirika wanapata shida Sana basi hatujui Tu

Lakini wanajuta Kwa upumbavu walio ufanya, na ndo ishakula kwao wapumbavu hawa
 
Kuacha kujadili tatizo haisaidii kulitatua na wala haimaanishi kuwa tatizo halipo. Dawa ya tatizo ni kulitambua na kuchukua hatua. Ushoga upo na unazidi kusambaa tukikaa kimya tutakuja kuwa na taifa la ovyo sana mbeleni, nchi itanuka mavi.
🙏🙏 Mkuu Kwa maneno mazito na yenye Busara sana
 
Alla karuhusu wewe nani upinge.?

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2447168
Kiongozi hiki kitabu ulichokitumia mbona kimeandikwa hovyoo...ni kitabu cha wasio na dini kilichobadili Aya na tafsiri ya Quran kwaajili ya kuuchafua uisilamu...Ila muogope Sana MUNGU na ipo siku utaulizwa juu ya uongo na uu uchafu unaousambaza kwaajili ya kuuchafua uislamu......Muogope Sana MUNGU na ikikupendeza naomba ufute io nakala
 
Hahahaha sijui kwann waislam hampendagi mafundisho yenu ya kweli yajulikane hadharani
 
Alla karuhusu wewe nani upinge.?

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2447168
Hakuna Aya wala nakala yoyte katka uislamu inayosapoti mwanaume kumwingilia mwanamke kwa nyumaa...ni haramu na dhambi yake ni mbayaa kuliko dhambi yoyoteee ileee....kuhusu io hadithi ni kua swahaba alienda kwa mtume na kulalamika huku akilia kua amefanya dhambi ya kumuingilia mke wake kwa kupitia nyuma ( doggy style ) na sio kwamba alimuingilia kwa utupu wa nyuma....na mtume akamjibu kua kinachokatazwa ni kumuingila kwa utupu wa nyumaaa ( anal sex ) ila Unaweza kumuingila kwa style yoyte ile maadam unapitia tupu ya mbele Hta kma ukitumia kwa nyuma yan ( doggy style )
 
Mtu anazaliwa unakuta anapenda Tu kufanya ivo unaeza kumkashifu au kumsema vibaya lakin hata akuelewi. kunamtu anakuambia kabisa sipendi pombe nataman kuacha lakin siwezi ,izi inshu ni sensitive sana kwahiyo ukiona mtu kawa LGBT mpaka wewe ukajua ujue kashapambana na hiyo Hali kibinafsi mpaka kachoka kaamua jamii inichukulie itavyoona,fikiria mtu anakuambia umuingilie au anakuomba akuingilie kinyume kajikaza kiasi gani, alafu we uzani Kwamba maneno yako au hoja zako zitam-badilisha kirais haiwezekani.
Lazima hivi vitendo vipigiwe kelele hakuna mabadiliko ya siku moja lkn tukipasa sauti IPO siku tutapunguza hili tatizo

Ila tukiwa na watu kama nyinyi ni shida Sana pia
 
Sikia. Kukaa mnatuletea habari za ushoga ni kuupromoti.

Kama unachukia ushoga huwezi kupoteza muda kuuongelea. Mimi nalog out. Endeleeni kujadili ushoga, mimi nina mambo mengine ya kufanya.
We jamaa unatakiwa ujue kwamba ushauri bora ni ule unaotolewa na mhanga mwenyewe. Mashoga, walevi, makahaba, mateja hata wezi huwa ni watu wenye majuto sana kimoyomoyo kwenye maisha yao. Wengi wanapambana kutoka huko ila wanashindwa. Wanaposhauri watu wasijiingize huko huwa wanamaanisha kwa dhati kabisa. Kwahiyo ukiona shoga anasema usiingie huko bora umsikilize kuliko hata kiongozi wako wa dini.
 
Kila mtu afanye kile moyo wake unapenda hii mitizamo ya dhambi au si dhambi atajua yeye na imani yake, wewe kilee kizazi chako vile unavyotaka kiishi huwezi mbadili mtu mzima aliachagua kufilana, kufila au kufilwa madhara sijui dhambi ni zake wewe fanya yako utaishi vizur
Nyie ndio wale wale

Next time upite kulia
 
Hakuna Aya wala nakala yoyte katka uislamu inayosapoti mwanaume kumwingilia mwanamke kwa nyumaa...ni haramu na dhambi yake ni mbayaa kuliko dhambi yoyoteee ileee....kuhusu io hadithi ni kua swahaba alienda kwa mtume na kulalamika huku akilia kua amefanya dhambi ya kumuingilia mke wake kwa kupitia nyuma ( doggy style ) na sio kwamba alimuingilia kwa utupu wa nyuma....na mtume akamjibu kua kinachokatazwa ni kumuingila kwa utupu wa nyumaaa ( anal sex ) ila Unaweza kumuingila kwa style yoyte ile maadam unapitia tupu ya mbele Hta kma ukitumia kwa nyuma yan ( doggy style )
Anasema msafara wake ulipinda ukamuingilia mkewe utupu wa nyuma..hivi hata kusoma hujui au unakaza fuvu.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hayo ni maoni yako mkuu wala hayanisumbui

Haya ni mambo ambayo yapo katika jamii yetu na Yana athiri vizazi vyetu lazima tuyapigie kelele

Siku ukisikia mwanao analiwa utakuja kunielewa vizuri

Shukrani.
Nyie ndo mnaleta ushoga huku mada za kigasho Kila siku
 
Hakuna Aya wala nakala yoyte katka uislamu inayosapoti mwanaume kumwingilia mwanamke kwa nyumaa...ni haramu na dhambi yake ni mbayaa kuliko dhambi yoyoteee ileee....kuhusu io hadithi ni kua swahaba alienda kwa mtume na kulalamika huku akilia kua amefanya dhambi ya kumuingilia mke wake kwa kupitia nyuma ( doggy style ) na sio kwamba alimuingilia kwa utupu wa nyuma....na mtume akamjibu kua kinachokatazwa ni kumuingila kwa utupu wa nyumaaa ( anal sex ) ila Unaweza kumuingila kwa style yoyte ile maadam unapitia tupu ya mbele Hta kma ukitumia kwa nyuma yan ( doggy style )
Hicho kitabu ndo Cha dini yenu na mnakiamini daa tumeisha
 
Qur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.

Lakini cha kushangaza katika Biblia, ukisoma hicho kisa cha LUTU ambao wao Wakristo hawamtambui kama Nabii, haijaonyesha Dhahiri kuwa vitendo vilivyokuwa vinafanyika pale ni vya kuingiliana Wanaume kwa Wanaime (Ushoga).

Bali Biblia imekazania tu Uovu, Mara Uovu ulizidi. Uovu huo ni uovu gani? (Mbona Biblia haijakuwa Specific kwamba ni Ushoga? Wote tunajua Uovu upo wa dizaini nyingi.(Kama Usiue, Usizini, na n.k.)

Ndio maana sishangai mda mwingine Ukristo dhehebu kama Roman Catholic unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
 
Back
Top Bottom