Hebu jaribu google huwezi toka kapa hukoKwa anaejua io salary scales ya PGSS 6 ni ngp anipe info.
Ndogo nyingi? Ni Degree Holder kwa Taasisi za Elimu hii Scale na baadhi Ya Taasisi za Serikali.[emoji44][emoji44][emoji44]...oy nko serious kaka
nakuonaNdogo nyingi? Ni Degree Holder kwa Taasisi za Elimu hii Scale na baadhi Ya Taasisi za Serikali.
Nipo Ndugu yangu Michakato vipi.nakuona
[emoji44][emoji44][emoji44]...oy nko serious kaka
Mwenye kujua hii scale hii WakuuKwa anaejua io salary scales ya PGSS 6 ni ngapi anipe info.
PGSS mkuu, hizi nazani ni mashirika ya serikali PGSS, PG, PS etcPSS G. 1. = Sh 1,299,000
PSS G. 2. = Sh 1,324,500
PSS G. 3. = Sh 1,350,000
PSS G. 4. = Sh 1,375,500
PSS G. 5. = Sh 1,401,000
PSS G. 6. = Sh 1,426,500
PSS G. 7. = Sh 1,452,000
PSS G. 8. = Sh 1,477,500
PSS G. 9. = Sh 1,503,000
PSS G. 10. = Sh 1,528,500
PSS G. 11. = Sh 1,554,000
PSS G. 12 = Sh 1,579,5000
Kwa anaejua io salary scales ya PGSS 6 ni ngapi anipe info.
Na SS 4 ni ngp mkuu600k-700k
Haizidi 450kNa SS 4 ni ngp mkuu