Ipo mikakati mingi sana inayofanywa na Serikali ya CCM, Usalama wa Taifa, pamoja na jeshi la ulinzi, ili kuweza kudhoofisha nguvu ya chadema Tanzania.
Huku CCM ikitumia mfumo wa Usalama wa Taifa kuweza kuwasaidia katika mambo mengi ya kiusalama; Sasa mipango hiyo imeweza kusukwa kwa kutumia...