Johnson Mashaka na mbio za Ubunge Ukonga

I would like to see some new blood in the parliament.Of course watu wanaweza kusema jamaa anakuja na gia opportunistic and all which is true and I would rather see straight talk, lakini at least tunaweza kuona siasa zetu zinakuwa elevated to another level.

I know John Mashaka is corny as hell in many ways, but what is the alternative? I will take a John Mashaka from "Wall St. South" any day rather than a John Komba or Makongoro Mahanga.

It's time to elevate the game, and unless we have a change of regime/ leadership we are guaranteed to revolve in a vicious cycle of mediocrity.

Ninachoona hapa siyo kwamba jamaaa ni vipi, ukweli ni kwamba watu wanamuogopa. Huyu ana kipaji maalum, he is so articulate, and that intimidates many of them. Hata mawaziri walionao wanamuogopa huyu mtoto

We have to admit the truth, that is is one of the talented few in our country has ever have.John Komba, Makongoro Mahanga hawana chochote hapa ndo maana wao roho chonde sasa hivi hawana amani kabisa. Waoga kama nini tunachohitaji ni mashaka zaidi ya mmoja
 
- Mkuu umeanza tena? Si majuzi tu ulisema ya personal huyataki tena vipi? Ni wapi nimemrushia tuhuma za ukenya? Mashaka ni mkazi mwenzangu mkuu wa Kinyerezi na familia yake yote ninaifahamu, ndio maana nikasema hivi anahitaji kuiweka wazi sasa ya connection yake na Kenya kifamilia,

- Ili kuepusha yaliyomkuta Mungai, kwenye kugombea NEC au umesahau mkuu?

Respect.

FMEs!

Mh, yangu macho na masikio. Jamani hacheni kumchezea rafu dogo, hagombei wala nini alafu huyu ni mtanzania hata baba yake alikuwa mtanzania na mama yake pia. Mabere Nyaucho Marando ni mjomba wake. Yule katibu marehemu Adel ni baba yake mkubwa
 
Ninachoona hapa siyo kwamba jamaaa ni vipi, ukweli ni kwamba watu wanamuogopa. Huyu ana kipaji maalum, he is so articulate

Goodness gracious. Did you really mean to say that? That he is so articulate? Do you know what "articulate" means? Wow...just wow!!!

and that intimidates many of them. Hata mawaziri walionao wanamuogopa huyu mtoto

Lol...really?

We have to admit the truth, that is is one of the talented few in our country has ever have.

Who is we? Please speak for yourself. If Mashaka mesmerizes you, then that's you. Say "I" have to admit and not "We" have to admit. Talkin' about he is one of the talented few our country has ever have...puhliiiiz dude. No wonder why we are in the situation we are in.

John Komba, Makongoro Mahanga hawana chochote hapa ndo maana wao roho chonde sasa hivi hawana amani kabisa. Waoga kama nini tunachohitaji ni mashaka zaidi ya mmoja

Unbelievable!!
 
Kama mtu anafanya mambo mema ya kusaidia jamii wote tunampongeza. Lakini kama mambo hayo ni kutaka kupata jina la kujiingiza ktk siasa basi ni sawa na ufisadi na utapeli mkubwa katika jamii. John Mashaka kama kweli anafanya mema kwaajili ya kupata popularity basi anairubuni jamii ya watanzania moja kwa moja; atakua pia amemisuse fedha za wanaochangia kwenye foundation yake. Dunia ya kufanya mambo kiujanja ujanja imeshapita. He should be warned that the society is following very closely his steps to see the genuity of what he is doing.
 
Hivi karibuni Dr. Kitilya Mkumbo alisema kuwa Johnson Mashaka anagawa fedha kama njugu!

wakati akitoa mjdadal huo, wadau wa JF wakawa hawana uhakika na chanzo cha data hizo; hata baadhi ya wakazi wa Jimbo la Ukonga - JF wakawa hawana lao.

Katika uchunguzi wangu niliofanya nimegundua yafuayo:
  • Ni kweli Mh. Makongoro Mahanga amekuwa akifanya vikao vya siri katika kata za Tabata, Segerea, Kitunda na Kipawa, ili kulinda kitumbua chake cha Ubunge.
  • Johnson Mashaka ambaye amesafiri siku ya J'5 tarehe 9 Sept kurudi marekani, ameweza kukutana na wadau wa ccm wa jimbo la Ukonga ili kujiadaa vyema.
  • Johnson Mashaka + Makongoro Mahanga wote ni wakazi wa Kata ya Segerea.
  • Wote ni kabila la wajaluo.
  • Ni wazi Kuwa mojawapo ya vijana vichwa hapa Tanzania ni Johnson Mashaka! Ni mtaalamu wa masula ya kompyuta wa kutegemewa na kampuni mkoja - Texas.
  • Makongoro ameongea na baadhi ya wadau wengine wa ukoo wa "kijaluo" ili kuongea na kijana aende akagombee jimbo la Rorya! Tayari wadau wamekataa kwani Prof. Sarungi ana mpango wa kurudi jimboni tena.
  • Maongoro amekiri kuwa kijana pekee ndani ya ccm anayeweza kumsumbua kwenye kura za maoni ni Mashaka.
  • Ni wazi kuwa Mashaka kama kijana makini, kugombea kwake kupitia CCM inaweza kuhoji uhalali wake na umakini wake katika uchaganuzi na uchambuzi wa fursa za kisiasa!
  • wasiwasi wangu ni dogo huyo kuanza kuhonga fedha inaondoa uhalali wake wa kusemwa kuwa "zaidi ya Zitto"
  • Namshauri agombee kupitia Chadema - ingawa nasikia kuna utitiri wa wagombea - Mwita waitara, Binagi, Dady na wengine wengi..
  • Naungana na uhakika wa hoja za Kitila Mkumbo!!
 
Ninachoona hapa siyo kwamba jamaaa ni vipi, ukweli ni kwamba watu wanamuogopa. Huyu ana kipaji maalum, he is so articulate, and that intimidates many of them. Hata mawaziri walionao wanamuogopa huyu mtoto

We have to admit the truth, that is is one of the talented few in our country has ever have.John Komba, Makongoro Mahanga hawana chochote hapa ndo maana wao roho chonde sasa hivi hawana amani kabisa. Waoga kama nini tunachohitaji ni mashaka zaidi ya mmoja

Ni kweli tunamuogopa.

Tunaogopa kuendelea kuona jinsi watanzania wanavyokimbilia kumkubali mtu kwa kumjua katika blogu na magazetini tena kwa kulazimisha mapich na mijadala isiyo na mishiko ya uhalisia wa jamii na nchi yetu.

Tunaogopa wanaokaa huko ughaibuni na kufunga safari eti kuja kutusaidia kuondokana na madhila yetu ambayo ama waliyakimbia ama hawayajui isipokuwa katika vijigazeti vyetu na blogu zao.

Tunaogopa hawa wanasiasa wanaotumia madhila ya watanzania kama nafasi ya kujitangaza kwa madhumuni ya kupewa uheshimiwa na sio kuona ni jukumu lao.

Tunaogopa kwa kuwa tuna historia ya kuletewa vijana wa aina hiyo wengi ambao wana viapo vya kulinda maslahi ya dola na watawala wa dola zingine kama ambavyo wengi walifanya miaka ya 70 na 80 ambao ndio wakatuletea EPA, ubepari hovyohovyo na machafu mengineyo bwelele yaliyotufikisha hapa tulipo sasa.

Tunaogopa kuona educated mediocres wanaongezeka katika nafasi za kutufanyia maamuzi ya nchi yetu.

Tunaogopa tunaogopa tunaogopa...

omarilyas
 
Aibu ya karne itatukumba wana Jamii Forums pale itakapojulikana kwamba bwana mdogo wala hakuwa na nia ya kugombea Ubunge....
 
Goodness gracious. Did you really mean to say that? That he is so articulate? Do you know what "articulate" means? Wow...just wow!!!

Lol...really?

Who is we? Please speak for yourself. If Mashaka mesmerizes you, then that's you. Say "I" have to admit and not "We" have to admit. Talkin' about he is one of the talented few our country has ever have...puhliiiiz dude. No wonder why we are in the situation we are in.

Unbelievable!!

Tatizo ni kwamba una mambo ya kike na wivu mno, wewe mwanamme jaribu kuwa mstaarabu. Hivi kusema kweli, ni kazi gani umewahi kuifanya zaidi ya usengenyaji humu JF????
 
Wewe hii CV umeitoa wapi?

Kaka Yangu Julius, wewe ni mmoja ya watu wachache wanaopenda kuwaharibia wenzao. Utaniita mm wivu lakini siyo, ila tabia kama zako naona haziendani na maadili ya kitanzania. Badilika rafiki yangu dunia siyo hiyo
 
Mh, yangu macho na masikio. Jamani hacheni kumchezea rafu dogo, hagombei wala nini alafu huyu ni mtanzania hata baba yake alikuwa mtanzania na mama yake pia. Mabere Nyaucho Marando ni mjomba wake. Yule katibu marehemu Adel ni baba yake mkubwa

- Mkuu kafanye utafiti tena.

Respect.

FMEs!
 
- Mkuu kafanye utafiti tena.

Respect.

FMEs!

FMEs!
Heshima mbele mkuu, nakuheshimu sana lakini hapo umechemsha. Huyu kijana ni Mtanzania, amesoma nje tu....... Tungefahamiana, ningeku bet $1000 kwa sababu nina uhakika 100%
Basi kama yeye siyo mtanzania na wewe kuwa mgogo siyo kuwa mtanzania; utakuwa mtu wa Rwanda
 
..huyu kijana anachonivutia ni kwamba mtizamo wake wa kisiasa na kijamii ni tofauti na wa vijana wengine waliojitosa kwenye siasa.

..niliona mahojiano yake na sikuvutiwa na uwezo wake wa kujieleza. tatizo linaweza kuwa amezoea kujieleza kwa kiingereza kuliko kiswahili. lakini kwa upande mwingine kijana anaweza kabisa ku-improve.
 
Wewe FISADI-ORIGINAL acha fitina kabisa. Tena nchi hii inatakiwa ichukuliwe na vijana ambao wana upeo na ambao wana nguvu si wasinziaji bungeni.

Pia fahamu kuwa kila mtanzania akifikisha aumri unaotakiwa kikatiba kugombea uongozi anaruhsiwa, hiyo ni haki yake ya demokrasia.

Pia unapotaka kuingia siasa campaign is vital, sasa unataka wasianze kampeni wakati 2010 is just near??

Pia usikute unanadi watoto wa vigogo hapa. 2010 hakuna kumwangalia nyani usoni, sema tu kale kamchezo kakukwapua kura mmtu anashinda kwa wizi!!!!

Makongoro Mahanga kweli ailipata ushindi mwembaba sana 2005 tena kwa staili ile chafu. Namshauri ili kukwepa aibu asijitokeze kabisa katika kura za maoni. Na kama chama chake kitampitisha basi Ukonga itakuwa jimbo la waongeza chachu ya majadiliano bungeni (vyama vya upinzani).

Huu ni mtizamo wangu wakuu.
 
Pia fahamu kuwa kila mtanzania akifikisha aumri unaotakiwa kikatiba kugombea uongozi anaruhsiwa, hiyo ni haki yake ya demokrasia.

Huu ni mtizamo wangu wakuu.

Ni mtazamo unaofanana na ule wa kuwa madhali kuna uchaguzi wenye washindani basi ndio demokrasia....Ni mtizamo finyu unaopaswa kuepukwa hasa katika nyakati hizi ambazo UFISADI unatishia kushika hatamu....

omarilyas
 
..huyu kijana anachonivutia ni kwamba mtizamo wake wa kisiasa na kijamii ni tofauti na wa vijana wengine waliojitosa kwenye siasa.

..niliona mahojiano yake na sikuvutiwa na uwezo wake wa kujieleza. tatizo linaweza kuwa amezoea kujieleza kwa kiingereza kuliko kiswahili. lakini kwa upande mwingine kijana anaweza kabisa ku-improve.

Mmmhh...tayari ushanyweshwa kool aid wewe...
 
Julius,

..the kid had an interview with Michuzi about the financial crisis and how it will affect Tanzania.

..I was not impressed by his answers. I thought he bombed the interview.

..kwa hiyo naweza kukubaliana na wewe kwa kutokumuweka dogo ktk kundi la watu ambao ni articulate.

..lakini ukisoma HOTUBA anazotoa JOHN MASHAKA utaona kwamba he is SMART and brings SOMETHING DIFFERENT kulinganisha na vijana wengine.

..hebu mlinganishe na watu kama Nape Nnauye na vijana wengine wa CCM utaelewa ninachoongelea.
 
Julius..lakini ukisoma HOTUBA anazotoa JOHN MASHAKA utaona kwamba he is SMART and brings SOMETHING DIFFERENT kulinganisha na vijana wengine.

I'm not yet sold on his being articulate based on written speeches. For all I know, he could plagiarizing other people's speeches but we just don't know and given the kind of press we have at home we may not even know unless someone here at JF puts him on blast.

Look at how his friend got away with lifting almost word for word the history and origin of Valentine's day and basically passed it off as his own. But for Kuhani/ Dilunga most of us wouldn't have known that he plagiarized.

Until I hear him more in impromptu settings that's when I will able to determine whether he's the real deal or just a knockoff.
 
FMEs!
Heshima mbele mkuu, nakuheshimu sana lakini hapo umechemsha. Huyu kijana ni Mtanzania, amesoma nje tu....... Tungefahamiana, ningeku bet $1000 kwa sababu nina uhakika 100%
Basi kama yeye siyo mtanzania na wewe kuwa mgogo siyo kuwa mtanzania; utakuwa mtu wa Rwanda

- Mungai ni Mtanzania, lakini kampeni ilipochacha alishindwa kuweka mambo mengi sawa ya familia,

- Salim aliambiwa mapema kwamba aweke sawa connection yake na kifo cha Karume na uarabu wake, akasema maneno kama yako akiamini Mwalimu tu atamsaidia, unajua yaliyomkuta,

- Mliudanganya umma hapa kwamba huyu kijana yuko Wall street NYC, mpaka niliposema yuko North Caroline Wachovia Bank, ndio wote mkabadilika,

- Mkuu ninamjua huyu kijana kuliko, ninasema hivi msaidie aiweke sawa connection ya familia yake na Kenya, sitaki kumchimba sana maana ninaheshimu sana mawazo yake kwa taifa, badala ya kusubiri kushambuliwa kwenye kampeni itakuwa too late na mtalia kama Mungai, unamjua vizuri Mahanga au unamsikia?

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom