CHADEMA kuteketezwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuteketezwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kigugumizi, Dec 1, 2009.

 1. k

  kigugumizi Member

  #1
  Dec 1, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je mnaikumbukam hiin thread yangu ya siku za nyuma?

  2. Zitto Kuhamia CCM.
  Mosi, usalama wa Taifa, CCM wanaamini kuwa Zito atahamia CCM kabla ya Uchaguzi. Zito akiwa ahamini utendaji wa mbowe na Dr. Slaa anajua kuwa Chama kinaweza kufa wakati wowote.

  Pili, uswahiba wa JK na Zito ulianzia kwenye kamati ya madini. Katika marekebisho ya Wizara, Zito alipewa Uwaziri na JK, kabla ya JK kufanya marekebisho ya ghafla akiwa Dodoma baada ya kupata upinzani ndani ya CCM.

  Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.

  Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.

  Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK.

  Taarifa za ndani za chadema zinasema kuwa Mbowe amehitisha kikao kisicho rasmi Dodoma, wiki hii huku Zito ameondoka mapema kwenda nje ya nchi pasipo taarifa kwa viongozi waandamizi wa Chama hicho. Hali bado haijawa shwari ndani ya Chama hicho, athari za Uchaguzi bado zipo.

  sasa tusubiri hali itakuwaje.
  Nyongeza
  • Hawezi kuhamia NCCR Mageuzi....
  • Spinning inatumika kuichafua chadema.
  • Mtanzania, Rai, Majira, Mwanachi wako nyuma ya Zitto.
  • Ajenda ya Ujana amekabidhiwa Zito na JK ili aisambaratishe Chadema kitaswira kama chama cha vijana. rejea kauli ya JK, Rejea Zito kuiona kama chadema hakijali vijana.
  • Watu wanaimba wimbo wasioujua chanzo chake kipo wapi.
  • Wanajenga tasiwira kuaminisha umma kuwa Zito ni Chadema
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  napata kigugumizi juu ya hili suala
   
 3. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2009
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mkuu kigugumizi
  zitto hawezi kuhama kutokana na historia ya watu wiliokimbilia CCM na kufika mwisho wao kisiasa natumaini anayo na ni fundisho kwake kwa uchache nimkumbushe

  1. kabouru - alikuwa makamu mkti chadema
  2. m lamwai - NCCR
  3 D. Makanga -UDP
  4.na yule wa CUF wa temeke mpambe wa makamba nimesahau jina lake
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Dec 1, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280

  Ndio tunaikumbuka, kuwa wewe mwongo! Zitto yupo Chadema bado na hajahamia CCM! lol!  Nilifikiri wanafacts! kumbe Imani, sawa na mimi ninavyoamini kuwa wewe ndio muuaji wa Chadema!.Yeye kasema hahami, wewe unasema anahama!utamlazimisha tu aende huko?


  1.Alah! Kumbe,ulianzia kwenye madini, madini yanaleta uswahiba! hili nalo umeambiwa na nani?
  2.Zito apewe uwaziri? kwa katiba gani?JK mjinga kiasi hicho ndio kwanza nasikia kwako, JK yuko tayari kuvunja katiba kwa sababu ya uswahiba wak na Zito? wanadanganye hao hao!

  1.Mh! condition lazima aingie CCM? JK si anaweza kumpa uwaziri tu hata akiwa huko huko Chadema kwa mujibu wako?

  2. Zitto kaanza kwenda nje kabla hata ya kuwa mbunge, tangu akiwa mwanafunzi,kaanza kusoma masters kabla wewe haujamfahamu! ungemfahamu usingedanganywa kirahisi hicho.Kijiwe chenu noma! kwa hiyo CCM kupewa uwaziri fulani lazima ukasomee hilo eneo, CCM hawa hwa wameanza lini? maana wizara zote zimejaa watu wasiokuwa na fani ya hizo wizara! au wataanzia kwa Zito!

  1.Kama hauna uhakika, kaka, kilichokufanya uweke hapa hii thread ni nini?
  2.Unakuwa mwepesi kuamini chochote kiasi hicho?
  3.CCM watalazimika kubadili katiba kwa sababu ya Zitto? unaweza kutuambia hayo mabadiliko y katiba yatafanyika lini.Maana ukweli wakibadili katiba iwe kuwa serikali iwe ya vyama vyote hiyo faida kwetu watanzania, au sio? lakini I doubt


  Kwa nini? kumbe kuna wanaosema atahamia NCCR? una facts gani kuwa hawezi kuhamia huko? huoni hapa unajipa mavi mkuu? kama wewe naamini atahamia CCM, kwa nini mwinine asiamini atahamia NCCR? au wewe Imani yako ni kali sana?

  Kama ulivyofanya kwenye hii thread? haujajua umetumiwa mkuu?


  Chadema watajiua wenyewe! Kafulila emefukuzwa na CCM? M/kiti wa Chadema mbona kijana, huyo Zito mbona kijana?
  yaani CCM leo wakiiba sera za chadema, tutamtafuta mchawi chadema kuwa ndiye aliyewaambia CCM? aibu hii, haujui hawa ni watawala na watatafuta kila namna hili kushindana na wapinzani  1. wewe unayejua chanzo cha wimbo haujatupa facts, umeungaunga na kuweka fiction story hapa

  2. Wenyewe Chadema wamempa uongozi wamemteua, na hao viongozi ndio naamini wanajua sana kuliko wewe! kwa nini wamempa uongozi kama huyu sio mwanachadema?

  Zito yumo humo chamani tangu akiwa na umri wa miaka 16, kumbe muda huo woote hakuwa Chadema!
  Mkuu ebu iangalie hii taarifa uone kama inaendana na wewe! umerudia tena bila facts, unachofanya unaingia kwneye mkumbo wa kuua upinzani.

  Kafulila, Dandu wote hao walioisema vibaya Chadema ni wajinga, walitakiwa kuondoka zamani sana, na kama kuna tatizo waliongelee humo humo sio kupiga kelele.

  Pia waambie viongozi wako wa chadema wabadilike na waziface tuhuma zote wanazokabiliwa na si kumbebesha mzigo Zito ili wafiche madhambi yao.

  Kawaambie usalama wa taifa hii sio kazi yao kukupa umbea wa uongo! lazima uliongea na mke wa jamaa wa usalama wa taifa.Usalama wa taifa ni siri na facts!

  Next time jaribu kuweka facts au kaa kimya, kujifanya unajua sana habari, kumbuka ukichamba sana....

  Zimwi au mzimo wa Zitto umewapata wengi na wewe humo! Sijajua mpaka sasa hivi.whats make Zito so high kiasi cha kuyasema haya!

  Are you obsessed with Zito??


  cheers


   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  aende zake Tu , kwanza nasikia yupo kwenye payroll ya RA...tetesi.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kigugumizi.... kwa mwendo huu, hautapona hicho kigugumizi maana unajikanyaga mwanzo hadi mwisho
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwenye siasa za Tanzania yote yawezekana!
   
 8. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zito kuhama chadema sio chadema kuteketezwa si kweli badilisha title!
  madai yako sina hakika nayo japo sina haja ya kuyakataa kwani sina facts za kuyakataa ila naamini kuwa chini ya JUA YOTE YANAWEZEKANA -motives, meanings and interpretations zinasukuma matendo ya mtu

  Chadema in threat kwa chadema yenyewe kwa sasa, hakuna mchawi nje, warogaji wenyewe! wasingizie watu, MTU, wala kikundi fulani! kama wameacha loop holes basi wazizibe kabla ya kutafuta wachawi nje ya duara
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Zitto kuhamia sisiemu ni dhambi??
   
 10. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Uzuri wa dunia hii ukiwa na internet connection basi kwa kutumia key board yako hautozwi kodi wala hutakiwi kufikiri, unaandika tu utakavyo.
   
 11. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Anajua kuwa katika list ya watu wote waliowahi kuhama vyama vyao na kujaribu kujiunga na vingine wameisha wapi?

  huwezi kufika sehemu watu wanaezeka paa then ukaleta na wewe msumari mmoja then eti na wewe umo katika umiliki wa nyumba hiyo

  Tuna list ndefu tu ya hao jamaa kwa hiyo Zitto naye akiamua kufanya hivyo basi tunamwongeza kwenye list then atapata matoke yake, mjanja yule anajua kila kitu hawezi fanya kosa kama hilo mimi nasisitiza HAWEZI
   
 12. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Kule atafanya kazi na nani mkuu? kuna wangapi wenye upeo huko?
   
 13. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Njaa njaa wakuu na tamaa za utajiri wa fasta vinaweza mshawishi. Amekana hapa kwamba hilo haliwezekani kwake ila wengi tu tumewaona wakila matapishi yao
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kigugumizi
  Je wewe ni usalama wa taifa?umeyajuaje haya,kwamba usalama wa taifa wanaamini hivyo? Usije ukawa unapiga ramli.
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  Dec 1, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Chukua tano. Jamani tunaomba hii heading ibadilishwe,kwani haiendani na maudhui
   
Loading...