Recent content by Kigeugeu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shinyanga kuwa na Chuo Cha Madini kuanzia Mei 2009

    Sema tu haujatuambia chuo kitamilikiwa na nani na kitafadhiliwa na nani?? Je chue cha Elimu ya Juu kama vingine? Hivi Shy kuna Chuo kikuu hata kimoja kweli hadi sasa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Joyce sasa sisi watu wa kawaida tuna pesa kidogo tu tununue share wapi? Tunaomba basi ushauri!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Hata mimi ukiniambia ninue share za NICOL kwa sasa nitasita-- afadhali ninunue za Viwanda vya Cementi au Bia.. maanke watu wanakunywa bia na kujenga kila siku
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni NIMR Council?

    Kwani nani anatakiwa kuiteua hiyo Bodi? Je huu ucheweleweshaji uko hapo tu au na taasisi zingine? Mwakyusa sii wameshibana sana na JK hata ile reshufle hakuguswa- anamfagilia sana na ni Wizara chache ambazo skandali ni kidogo! Je kuna dalili za Ufisadi katika Uteuzi? Kwa nini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Father of Modern Conservatism, William F. Buckley (1925-2008) owned by Noam Chomsky

    Punguza dharau kwanza watu watakupenda na kukuheshimu!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Migration points system yaja UK.

    Wacha unoko GT.. unadharau hapa JF kila mtu sasa anafahamu ..unawadharau watu wa Mafia na Watanzania wote ..kwa kujidai umesoma! Wewe unatumiwa tu!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Community airlines ni ya nani?

    Wacheni wivu-kwani ninyi mmekatazwa kuanzasha shirika la ndege? Mtanzania akijitahidi- mara Fisadi, mara anajidai- basi tu maneno ya maudhi! Eti pesa katoa wapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Sheria: Rais Mwinyi Aliua Wengi Zaidi!

    Sasa hao ambao huhukumiwa kunyongwa na Raisi asitie sahihi- hukaa tu gerezani kusubiri au hii hugeuka Life Sentence?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    Hii thread ni fitina na majungu tu! Mnataka Ali aondolewe ili wewe upewe ubalozi? Hampewi ng'o!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Petition: Lowassa and Sitta should be removed from Powers

    Halafu Waziri Mkuu na Spika wakiondolewa unapendekeza warudishwe Sumaye na Msekwa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania To VC and DVC of Sokoine University

    Acheni kuwaonea wivu wenzenu! Kama wana uwezo na ni Maprofesa wote ungetamani upewe wewe? Hampewi ng'o!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Meya wa Detroit na vi sms vyake kwa Kimada!

    Tumwombee tu mema ili yaishe- wote tuaiba tu- wala hakuna cha nini! Je kuna kati yetu hajawahi kuiba? Acheni kuwanyooshea wenzenu vidole!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Community Airline Yamwaga Abiria "100"

    Acheni fitina na wivu kwa Watz wenzenu!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ballali aitikisa serikali

    Hii scandal itaishia tu hivi hivi watu walishakula pesa ndo imetoka! Kwani waliokula Goldenberg na Angloleasing Kenya leo si wapo na wanapeta? Na hizi ni pesa nyinyi zaidi BoT! Sasa unadhani waliokula BoT watafanyiwa kitu? Thubutu!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaijia juu serikali kuhusu kampuni ya mizigo

    Rwabingiri, Mimi nimekuwa mkweli kama binadamu taabu ya wengi wetu hapa tuu wanaafiki! Sii mawaziri wengi tu vijana walikuwa wanapinga sana ulaji siku za nyuma sasa wamepewa nafasi na JK na wapo kimya na sasa nao wanakula? Kama ni vibaya wanavyofanya ni swala lingine. Ukweli ni huo watu...
Back
Top Bottom