Recent content by KIFUSO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada, tumbo kujaa gas

    Mimi ni mgonjwa wa tumbo toka 2013. Niliwahi kwenda hospital Moro kwa deside nikapiga ultra sound na kuambiwa hamna kitu, nikapewa dawa zikanisaidia kiasi na ulabu nikawa nimesimama. Nilivyo kaa kama mwezi nikaanza kunywa tena, likaanza kutibuka tena, nikaenda Dar kufanya kipimo kilekile...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Las Vegas Jiji la anasa Duniani

    sterehe za duniani ni za mda tafuten ufalme wa MUNGU kwanza na hayo yote mtazidishiwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    kiapo kinakuwa na maana pale anayeapishwa anapokuwa na Imani juu ya yale anayoapa kinyume cha hapo ni mapokeo tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, samaki ni kibudu?

    wewe sawa na mim hata wanyama waliogongwa na gar nakula nahesab wamechinjwa na gar
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Battery ya Laptop

    eleza vizur ucjichanganye ni dell model gan? na ya nchi gan ya mtunba au yeboyebo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mwendo kasi kuanza kutoa huduma lini?

    eti kasi?! hayo ni mabas ya kawaida tu,maana vituo vipo kalibu hiyo kasi inatoka wapi au yatakuwa na mbawa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    wewe unataka kufuga majini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania vishindo na Risasi gongo la mboto sasa hv

    sawa ni vizur walioko huko kutujuza maana maccm washaanza kupagawa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri na Mkurugenzi TANESCO semeni mmeshindwa

    SOGHOO ttzo ni pale unapo jinyima na kuamua kunnua umeme ili ufanye shughul za uzalishaj tena anakuja boya na kukata umeme bila taarifa hii inaudh raia amken tuondoe utawara huu dhalim,maana hii ni tanescoccm
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kulipana posho za vikao ni sawa?

    hiyo ndio ccm utajir wa watu weng wanagawana wachache nadhan mfumo huu mwisho wake umefika
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    hapa gairo,kongwa mpaka panda mbili wameukata kisa lowasa anatubu kuachana na ufisadi na itv inaonyesha live,ila nimependa mshikaj flan hapa kawasha genetetor
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Amina chifupa R.I.P
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    lazima ujue oil viscocity ni ngapi kabla ya kutumia engine oil vinginevyo maisha ya engine yako yatakuwa mafupi kutokana na viwango vidogo vya engine oil
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    kwenn tusiwachangie wagonjwa waliolazwa chini hospital ya mwananyamala kuliko kuwachangia wa ocen load waliolazwa kwenye vitanda?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

    mlishaanza kulewa na tshet na makofia ya bure,kwa ccm hakuna kiongoz bora wote wala rushwa tu
Back
Top Bottom