kaka nakupinga kidogo, lowasa hayupo kwenye list ya politician wasomi, ila prof Muhongo ni jembe bz alifanya mengi alipokua waziri toka aondoke hayajaendelezwa tena
sipingani na mtazamo wako hata uchape kazi vipi lakini ukifika hatua ya kudharau wale wamekupa kazi huna maana kabisa na huo ndio ukweli kuhusu Mhongo, kumbuka alisema waTZ wana hela ya juisi hawawezi kuwa kwenye ubia wa gesi.
Lowasa ni jembe ndiye aliyesimamia shule za kata na mradi wa maji Shinyinga na Kahama kutoka Ziwa Victoria, Kuhusu Richmond haikuwa deal yake kwa sisi wa ndani tunajua, ikifika wakati hata wewe utajua tu.