vishindo na Risasi gongo la mboto sasa hv

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Nipo Gongo la mboto maeneo ya Kota ni muda mrefu isiku huu nasikia risasi na vishindo vizito ka mabomu. Hii ni taadhari maana kwa mara ya mwisho kusikia sauti ka hizo asubuhi yake nikapata habari za sStaki Shari polisi kuuawa na nini.

Mnaofahamu kinachotokea updates please
 
Nipo g.mboto maeneo ya kota ni muda mrefu isiku huu nasikia risasi na vishindo vizito ka mabomu......hii ni taadhari maana kwa mara ya mwisho kusikia sauti ka hizo asubuhi yake nikapata habari za staki shari polisi kuuawa na nini...mnaofahamu kinachotokea updates please
Gongo la mboto kuna kambi ya jeshi na kambi ya FFU na gereza kuu la Ukonga. bado husomeki.
 
Watu wamelala hutapata jibu kamili usiku huu subiri pakuche tupate ukweli
 
Nikajua ni yale mabomu yamelipuka tena!
 
sawa ni vizur walioko huko kutujuza maana maccm washaanza kupagawa
 
Nipo Gongo la mboto maeneo ya Kota ni muda mrefu isiku huu nasikia risasi na vishindo vizito ka mabomu. Hii ni taadhari maana kwa mara ya mwisho kusikia sauti ka hizo asubuhi yake nikapata habari za sStaki Shari polisi kuuawa na nini.

Mnaofahamu kinachotokea updates please
Mkuu, huko kuna kota za Magereza, Kota za ATC za zamani, Kota za FFU, Kota za jeshi. Ulikuwa kota zipi?
 
Kota yangu ni ile ambayo nikifika mombasa napanda daladala la kuingia ndani then nashuka kituo kinaitwa kota
 
Ni kweli, hapo ni kituo cha kota, baada ya mazizini lakini ni kabla ya Moshi Bar. Mimi Nimeambiwa zililia maeneo ya mazizini. Umepata majibu kuwa ilikuwa ni nini?
 
Sijapata taarifa
 
Back
Top Bottom