SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
Tatizo la umeme limefikia unprecedented levels, waziri anaehusika na mkurugenzi chukueni maamuzi magumu maana mmeshindwa kabisa kuwapa watanzania umeme wa uhakika.
Siku hizi tunapata umeme kwa chini ya masaa kumi kwa siku.Kama kuna tatizo si mngesema ili wajasiria mali wadogo wadogo wabuni miradi isiyo hitaji umeme.
Tunamkumbuka Prof. Muhongo
Siku hizi tunapata umeme kwa chini ya masaa kumi kwa siku.Kama kuna tatizo si mngesema ili wajasiria mali wadogo wadogo wabuni miradi isiyo hitaji umeme.
Tunamkumbuka Prof. Muhongo