Jamani nimeangalia televisheni yetu hii ya serikali, kwani inachukua ruzuku kutoka serikalini, fedha ya kila mwananchi mlipa kodi. Cha kushangaza! Habari iliyovuta watu wengi, umma kwa ujumla ya kutekwa kwa dr. Na kukutwa mahututi katika msitu wa magwe pande. Haikuwa ni issue. Hivi wanahabari na...