Recent content by KIFALU

  1. KIFALU

    Mshahara wa sales executive postal bank ni sh ngapi?

    Wadau msaada naombeni kufahamu gross salary ya sales executive postal bank au basic salary
  2. KIFALU

    Nimeitwa kwenye interview postal bank Musoma, je pakoje?

    Tuko pamoja mkuu we nafasi gan uliomba?
  3. KIFALU

    Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

    Kama umepokea simu 84 c uchague sasa kinachokufanya uendelee kutafuta watu wengine nini sasa kweli jina tu hataree pia yawezekana kweli ni danguro hilo kazi halali weka tangazo open watu wajue na lodge yako iko wapi ha ha ha weka mbali na watoto
  4. KIFALU

    Tamko la Mh. Rais kusitisha ajira kwa muda na utekelezaji wake

    Mie nshaanza mapambano nipate private sector Nipige kazi!
  5. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Mtu unajitahidi kufata vigezo mwisho wa siku wanakutema ha ha ha
  6. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Du mlioitwa tufahamisheni ili tutoe tumaini bank ya postal
  7. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Wakuu Bank ya postal ilitoa nafasi tajwa apo juu,je kuna walio itwa interview na kupangiwa kazi?Samahanini sana msaada tutani.
  8. KIFALU

    kuhusu kujisajili na NMB bank tellers

    Ndugu sio wew ata mie nimeshindwa kabisa pia wanadai utoe copy ya vyeti certified then uscan combined na cv then ndo uapload du ila mie nataka nikajaribu tena ikigoma naacha2!
  9. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Okay nimepata furaha mana nilikua ONE MAN DOWN
  10. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Mleta mada ndo za limit 25yrs?
  11. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Du mie niliomba za hivi karibuni preventive assistant so cjui ndo zenyewe wanaita au
  12. KIFALU

    0222125506 ni ya shirika gani wakuu?

    Tumekupigia hukupokea hivo next time kua makini pia usichoke kuomba kazi pindi tukitangaza tena
  13. KIFALU

    TANROADS huwa wanaitaje interview?

    Huwa wanapiga cm mkuu we omba then tulia ukimwomba mola
  14. KIFALU

    FNB na Mwalimu Commercial Bank watatujibu lini?

    Ata mie muhanga wa hizo bank niliomba cha msingi tuvumilie uku tukicheki na kwingine!
Back
Top Bottom