mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 262
- Thread starter
- #21
nope siyo hizo
hizi zilikuwa zinahtaji form 4Mleta mada ndo za limit 25yrs?
hizi zilikuwa zinahtaji form 4Mleta mada ndo za limit 25yrs?
Okay nimepata furaha mana nilikua ONE MAN DOWNnope siyo hizo
hizi zilikuwa zinahtaji form 4
Mkuu wa kiswahili ni Msaidizi wa Office kazi zake ni Kupika Chai, Kusafisha Vyoo, Kupiga deki ofisi Kuprint Documents mbalimbali,kuwasambazia chai watu maofisini, Kutumwa kupeleka mafaili sehemu kugawa maji hasa wakati wa mikutano mshahara wake si mkubwa sana hiyo kazi pia haitaji mtu aliyesoma sana. FOR ME NAONAGA MTOTO WA KIKE INAMPENDEZA SANA......Office Assistant wa TRA analipwa mshahara kiasi gani?
Mishahara serikakini ni midogo sana. Mishahara serikali kuu ni midogo, TRA ni serikali kuu. Ukitaka mishahaara mikubwa ni kwenye mashirika ya umma. Ingawa tofauti hua sio kubwa saaana..mshahara ni siri ya mtu mkuu
Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.[/QU
Hata mimi nishapigiwa simu interview tar 18
walishatoa tukaombakama vile sijaelewa wanaenda bila maombi au wanaitwa watatolewa pale pale
hawa mkuu walishaomba zamani saana nakumbuka bado nikiwa bongo mdogo wangu aliomba ilikuwa mwaka jana . hawakuweka exactly post ngaapi wao waliandika kwa ujumla office assistants
Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.
ushakatwa.usijisumbueWalnipigia simu lakini sikupokea coz sikuskia.je nikienda bila kupokea simu yao watakua wamenikata au bado ntakua kwenye list yao???
hivi mkuu nimeambiwa chuo cha kodi kule mwenge kipo sehemu gani vile tafahdli? maana sipajuiHabarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.
hivi mkuu nimeambiwa chuo cha kodi kule mwenge kipo sehemu gani vile tafahdli? maana sipajui
hivi unajua huyo jamaa anatokea wapi mpaka umwambie apande gari za makumbusho? ........... sio gar zote za makumbusho zinapitia ITV.Panda gari ziazoenda makumbusho then shuka shuka kituo kinaitwa ITV.ukifika hapo panda bajaji/Bodaboda mwambie naenda chuo cha kodi