0222125506 ni ya shirika gani wakuu?

Wakuu,sijui niseme ndio nimepishana na gari la mshahara au vipi?nilikua town kwenye mishe zangu na nimekuja kukuta missed call ya hyo number,inaweza kuwa ni ya kampuni gani wakuu?


Nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa TRA, (Namba zao 0222125506) na kuambiwa kuwa interview ni tarehe 13, msimbazi centre......

Shukrani kwa mungu
Shukrani kwa JF
 
Na kama uliomba kazi wamekupigia hukupokea, basi tena imekula hiyo make mara nyingi huwa ni extension za ofsini!
Utapiga piga na wewe simu yako haipokelewi...
 
tra hao ndugu yangu.kuna mtu wangu wa karibu amepigiwa jion hii kwa namba hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom