IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Heshima mbele wadau,
Hivi karibuni Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli alitoa tamko la kusitisha ajira mpya zote serikalini ili kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa.
Baada ya tamko hilo taasisi na mashirika ya umma, wizara, mikoa na halmasahauri zimewaandikia watumishi wote wapya ambao walikuwa wamepangiwa vituo vya kazi katika taasisi husika za kusitisha ajira zao kwa muda, mpaka hapo tamko jingine litavyotolewa.
Hii imekaaje wadau manake vijana wengine walikuwa na ajira zao hapo mwanzo kwenye taasisi nyingine binafsi, na wengine wamepokea mishahara ya mpaka miezi mitatu.