kuhusu kujisajili na NMB bank tellers

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habarini the great thinkers!
Kwenye tangazo la kazi la NMB Bank tellers ni lazima ujisajili kwenye website ya NMB,swali langu kwa wale waliojisajili,wamefanyaje mpaka wamefanikiwa?maana kila nikiupload CV inagoma,inaniambia Cv upload failed,,,msaada tafadhali
 
Embu weka hilo tangazo hapa tukusaidie maana ni rahisi sana.
 
Daah... hapo kutakua na wateule wao, ndo maana hawataki kustabilize situation iwe fair kwa wote. Vinginevyo maombi yatakayo tiririka hapo watashindwa nani wamuache
 
Ndugu sio wew ata mie nimeshindwa kabisa pia wanadai utoe copy ya vyeti certified then uscan combined na cv then ndo uapload du ila mie nataka nikajaribu tena ikigoma naacha2!
 
Back
Top Bottom