Nimeitwa kwenye interview postal bank Musoma, je pakoje?

Nimeitwa kwenye interview postal bank Musoma, je pakoje?

Kweli man..daah nimeombaga kazi zao mapka nimechoka saiv wakitoa matangazo yao naishia tu kuyangalia nakupita
mwenyewe niliomba mara kibao nashangaa wakanipigia cm n email wamenitumia anyway usikate tamaa Mungu anaweza
 
kuitwa kwenye interview postal bank musoma pakoje sijawah kufika
Ni mjini kabisa. Nina account hapo huwa naona wafanyakazi wawili watatu hivi. Wakihudumu pale mbele. Mungu akujalie uipate kazi.
 
Ni mjini. Bahati nzuri nilisha ingia hadi ofisi ya Manager.
Ofisi ni ya kubanana sana.
Kwa mara ya mwisho nimefika jengo lilikuwa linavuja upande wa Customer Service mpaka wakawa wanakinga ndoo kwa ndani. Sijui mpaka sasa kama wamefanya ukarabati. Ilikuwa May 2015.
 
Kwa hiyo aandae taulo sio? 😀😀
 
Back
Top Bottom