Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

Kama umepokea simu 84 c uchague sasa kinachokufanya uendelee kutafuta watu wengine nini sasa kweli jina tu hataree pia yawezekana kweli ni danguro hilo kazi halali weka tangazo open watu wajue na lodge yako iko wapi ha ha ha weka mbali na watoto
 
Mbona Unanipangia Mkuu?? Hii Lodge Wew Au Bib Yako Alihusika Kuijenga?? Nimesema Bado Natafuta Watu? wap?? Punguza Shobo Na Watu Usiowajua Bra!! Punguza PupA Jf Haipo Hivyo. Unawez Reply Tena Km Hujatosheka. MUNUO
 
Kama umepokea simu 84 c uchague sasa kinachokufanya uendelee kutafuta watu wengine nini sasa kweli jina tu hataree pia yawezekana kweli ni danguro hilo kazi halali weka tangazo open watu wajue na lodge yako iko wapi ha ha ha weka mbali na watoto
Ok Lodge Yangu Ipo Hapo Kwa Nyuma Kwenu!!!
 
Ni kazi ya muda mrefu ama muda mfupi, je mimi mwenye degree moja naweza kuruhusiwa?
 
Mm nataka Kazi ni msichana n sio mdada namaanisha nimeshazaa so mtoto mkubwa.
 
tofautisha lodge na gest hiyo ni gest tu
 
Back
Top Bottom