FNB na Mwalimu Commercial Bank watatujibu lini?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,125
1,752
Umuofia kwenu,
Hivi zile nafasi zilizotangazwa na taasisi tajwa hapo juu zilikuwepo au ilikuwa ni kiini macho ?

Tangu mwezi wa tatu mwishoni ndio ilikuwa mwisho wa kutuma maombi ila kimya mpaka leo, mwenye updates atujuze
 
Tulia dogo kama vile unalia..! Cha muhimu kuvumilia baada ya muda wenyewe hao watakufagilia!!
 
Ata mie muhanga wa hizo bank niliomba cha msingi tuvumilie uku tukicheki na kwingine!
 
Back
Top Bottom