mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 256
Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.