TANROADS huwa wanaitaje interview?

Cataliyya

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
781
371
Wana jf, kuna nafasi zimetoka tanroads hapa juzi kati, tembelea zoom tanzania utaziona deadline bado, sasa nataka kujua je hawa jamaa hua wanaitaje interview? ni kwa simu? au web yao? maana application imekua adressed kwa Regional manager tanroads, mwenye kufahamu hili anijuze
 
Niliwahi kuitwa interview yao Moshi mjini, niliitwa kupitia gazeti la Mwananchi km sijakosea
 
Naomba kuuliza wana jf kwa wale wa juz tar 27 waliopeleka barua SUMATRA za maombi ya kaz mbalimbali kunaambao wameitwa ktk interview
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom