Hahahaha, hiyo nayo kali.Kusubiri kuitwa kwenye interview bank ya posta ni sawa na kusubiri meli airport
Mkuu hilo tangazo nililiona nikamtumia mdogo wangu leo hii ananilalamikia amefika hapo ud ktk ile venue iliyotangazwa kuwa wakutane lkn kakuta venue imefungwa na hakuna lolote linaloendelea.Hahahaa saivi wametangaza internship lkn ni kwa wanafunzi wa UDSM tuuu