Recent content by KidNinja

  1. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

    Jamaican farewell.....yan nataman ningekua na dem anaelewa hizi nyimbo ningemuimbia kila siku aisee
  2. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

    Nikiwa na msongo wa mawazo bas lazima nizame kwa hawa nguli Wa country music....they are such a heart healers.
  3. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

    Some broken heart never mend ...
  4. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Karibu Mara Mheshimiwa Adam Malima....

    Mh. Adam Kigoma Ali Malima kwa ukarimu wetu sisi wana MARA natumia wasaa huu na ukurasa huu kwanza kukukaribisha huku nyumbani kwetu KARIBU SANA. Mheshimiwa mara ufikapo huku kwetu usisahau kununua PANGA, MKUKI, UPINDE NA MISHALE, RUNGU na SIME sio kwamba unaenda vitani bali ni kwasababu ndio...
  5. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    Mystery una uhakika ulimuona akitoa rushwa....
  6. KidNinja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi

    Yan umenigusa kabisa kumoyo.....
  7. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Linda imani yako

    Asante bro
  8. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Linda imani yako

    Mkuu sio jeshi la wokovu.....
  9. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Linda imani yako

    Wakati Fulani nikiwa katika mafunzo ya Kijeshi katika chuo cha Mafunzo ya Kijeshi katika Mkoa mmoja hapa Tanzania tulikua tukikusanyika wakati wa jioni kujifunza neno la Mungu pamoja na kutiana Moyo ili tuzidi kua wavumilivu wa kiroho na kimwili. Nilikua na redio yangu ndogo ambayo Nlikua...
  10. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa Chuo Cha Chama Kivukoni

    Umefikia mwisho mkuu? Au bado unakusanya data.....nasubr muendelezo wake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Ghandhi na mtazamo chanya

    Safi Sana.... Mahatma's Gandhi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli serikali imekataa kumhudumia mtu nje ya nchi kwa matibabu yatibikayo hapa kwetu-Heko!

    Hivi itakuaje siku ikijulikana nyinyi wenyewe Ndo mnauana kama mlivomfanya Bob Chacha Wangwe? Mnailaumu serikali kwa lipi hasa? Mmeshaona anapata umaarufu kuliko nyie sasa mnaisingizia serikali....subirini mje muumbuliwe sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. KidNinja

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Umeshaona fursa kabisa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. KidNinja

    JamiiForums Tanzania Kura: Zilipendwa vs Seduce me

    Akufire Salama mkuu [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] Niko home ukimind poa tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom