Recent content by kidmanblessedkid

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini gundi (glue) haikamati pakiti yake?

    Kwa upande wangu naona ni kwa sababu kunakuwa hakuna hewa ambayo inaingia kwenye chupa na ili gundi igande inahitaji hewa kwanza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta watengenezaji wa interlock brick machine

    Ninampango wa kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza matofali kwa bei nafuu kwa kutumia technology ya ya hydraform, kwa upande wa huku arusha sijajua nawapata wapi hawa wataalum wa kutengeneza mashine hizi.kwa anayefahamu naomba anisaidie
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

    Kwa stahili ya uchokozi? Shame on you
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi: Shinyanga Mjini hali ni mbaya

    Kweliiiii
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Kuwa na HELA SI shida shida ni mazingira na tukio linaloendelea mahali hapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Breaking News::Lowassa Apita

    Hahahaha!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    We Mungu kujua nani anaenda kaburini nani haendi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    In my heart namkubali SANA lowassa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nina supp diploma na jina limo ajira mpya, nikaripoti?

    Nenda kariport mengine baadaye!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA mnisaidie taarifa au ujuzi wa NACTE.

    Nimecheki NACTE ili ni apply Chuo (degree programs), nimeshindwa kudownload guidebook
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

    Mi nahisi baadae tutaambiwa ilikua muvi.....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Haki ya kutoa maelezo Polisi

    Daaah!!! Kumbe ndo maana watu wengi huwa hawasemi kitu mpka mwanasheria wake awepo....
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema wanaunguruma Singida leo

    Lema akipita tena Arusha kutakuwa na mkono Wa MTU walahi!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wewe kama huna hii tabia, Maisha yako yatakwenda ovyo

    Sasa bwana mkubwa chochote unachofanya lazma tutafute muda Wa kuwa za ni jinsi gani nijiboreshe utafitaji Wa chakula changu na huo muda ndo wakujisomea.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Miaka 30, bado unakaa home au kwa ndugu bila sababu za msingi

    Ivi jamani hata maandiko yanatuambia ifike mahali uachane na familia yako uanzishe yako, sasa huyu wa miaka 30 atakua na uwezo huo kweli kama hajui kuhaso,
Back
Top Bottom