Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..

Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa

Picha hizi HAPA..
 

Attachments

  • 1445680675590.jpg
    1445680675590.jpg
    39.6 KB · Views: 7,422
  • 1445680688334.jpg
    1445680688334.jpg
    70.5 KB · Views: 3,787
  • 1445680703158.jpg
    1445680703158.jpg
    41.7 KB · Views: 3,807
Tutakutana nao kesho baada ya kupiga kura
 
Mwanza lile gari la maji washa nina uhakika hizi siku tatu litafanya kazi. mambo kama haya chadema hawawezi kuvumilia watu wataamua liwalo na liwe. vijana washasema mnawamwagia maji wanakuja na sabuni ya kuoga
 
Viongozi wa CCM inawatuma raia kwenda kufanya vurugu huku jeshi la polisi likiangalia , na pale upinzani inapojibu wanaonekana wao ndio wanaleta vurugu ..

Mungu tutangulie katika uchaguzi wa kesho , Mungu atawajibu watanzania
 
Cha msingi ni kumfuata mgombea wao tu...yeye hataki shari, hakikisha unachukwa video halafu una upload kwenye mitandao hasa CNN
 
attachment.php

Nimeshangaa kumuona askari wa usalama kasimama kwa pembeni akishuudia tukio.
kama ni kweli, harufu ya damu kwa mbaali naanza kuihisi. sio haki.
 
Waache waziondoe kwani UKAWA wangetakiwa kuziondoa leo saa 12, Ukishindana na chizi nawe utakuwa chizi. Kama mmeshagundua njama za fujo kaa kimya waangalieni kwani wanaweza tumika kuwapandisha hasira mkajibu wakapata njia ya kupitisha yao. kazi ni moja tu kesho kupiga kura hakikisha waliokuzunguka hawachezee hii nafasi.
 
Wasi wasi wa nini watulie dawa iingie vurugu za nn
 
Back
Top Bottom