12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,190
- 409
Makamanda hao wenye ushawishi na wasitindikiwa maneno yaliyojaa Hekima na kuwafanya kwao ni kazi rahisi KUWAVUA MAGAMBA makada na wanachama wengi wa CCM ili kuwavika MAGWANDA na kujiunga na kundi la ukombozi,
Ibainika wako Singida leo.
Mkutano utafanyika kwenye MNYINGA(MNINGA) Madukani kijiji na Kata ni MTUNDURU,Kuanzia saa nane mchana leo hii mpaka saa 12 jioni.
DELETE CCM NDIO MPANGO MZIMA.
Uwe na sikio la kusikio nitakuza kinachoendelea.