Recent content by Kidbwenga

  1. Kidbwenga

    Taarifa kwa umma

    December 27, 2016 Mnamo tarehe 26 na 27 Desemba, 2016 baadhi ya mitandao ya kijamii imeandika taarifa zenye nia ya kupotosha Umma ambazo Sekretarieti ya Ajira inapenda kuzitolea ufafanuzi kama ifuatavyo;- 1. Sekretarieti ya Ajira inapenda kutoa ufafanuzi kufuatia hoja iliyoandikwa katika...
  2. Kidbwenga

    Nini kirefu na maana ya neno PLC

    PLC= Public Limited Company
  3. Kidbwenga

    Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    *** Inawezekana kabisa. Kwa maelezo ya utaratibu wa kuufuata soma Standing Orders For Public Service. Kama huna kitabu cha Standing Orders, waweza kukipakua moja kwa moja ktk Google
  4. Kidbwenga

    Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Ndio, ajira za moja kwa moja za walimu wa masomo ya sanaa hazitakuwepo kwa sasa. Haya ameyasema Ndalichako jana wakati akifungua mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania (TAHOSSA) uliofanyika jana Dodoma
  5. Kidbwenga

    Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

    Ngeli imesimama balaaaa! Hongera kwa kusoma chuo kikuu binafsi
  6. Kidbwenga

    Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

    Ni kweli kabisa coz naona umeshuka ngeli km ya Oxford mzee nani!!!!!! Hahahahaaaaaa
  7. Kidbwenga

    Kilichoandikwa Mwananchi leo kuhusu ajira mpya zilizotolewa baada ya Mei mosi

    Yaani kama hamjaijua game inayochezwa hapo ni kwamba wanajua kuwa kama watawatambua walioajiriwa baada ya mei mosi watalazimika kuwalipa stahiki zao zooote tangu walipowasimamisha. So, ili kuliepusha hilo ndo mana wanasema hawawatambui. Utaratibu anaojaribu kuuongelea Kairuka ni kutaka...
  8. Kidbwenga

    Serikali yawakana waajiriwa wapya 3,000 wa mwezi June 2016. Yachukua maamuzi ya kuwafuta kazi

    ......Dk Ndumbaro alitoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizopo mtandaoni kwamba ametuma waraka kwa maofisa utumishi wote nchini kuwafukuza kazi waajiriwa wapya wa Juni." Hizo taarifa si za kweli. Sijatuma waraka wa aina yoyote," alisema Dk. Ndumbaro. ( Mwananchi,[Disemba 12]. Paragraphs 11&12)
  9. Kidbwenga

    Kujaza upya mikataba ya ajira kwa waliositishiwa

    Jana, disemba 06, nilipata taarifa kwa Afisa Utumishi wa Iringa DC kuwa wameanza kuwarejesha kazini wale ambao ajira zao zilisimamishwa. Wao, Iringa DC wamewapigia simu vijana wao warudi kazini.
  10. Kidbwenga

    Nawashauri vijana waliositishiwa ajira na wanaosubiri ajira mpya waandamane

    Mbona vijana walositishiwa ajira wameanza kurudishwa kazini. Kwa mfano IRINGA DC na Chuo Kikuu Cha Elimu Mkwawa wameshawarejesha
  11. Kidbwenga

    Waziri Kairuki ameweka pingamizi mahakamani juu ya vijana 3000 waliofukuzwa kazi June 2016

    SIDHANI kama kunatruth value ktk hili. -Hv hili shauri limefunguliwa ktk mahakama gani? -Hivi sensitive issue kama hii inaweza kupokelewa mahakamani pasi na written proof? -Basi, kama ulipewa barua ya kufukuzwa kazi, hebu uipost hapa tuujue ukweli. -Inshu ya kufukuzwa kazi watumishi wengi kiasi...
  12. Kidbwenga

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mwanza nije Mbeya Idara ni Sec.
  13. Kidbwenga

    1500 years Old Bible found in Turkey

    Waislam walikubali Agano la Kale na wanalikataa kabisa agano jipya. Ninyi, waislam mmekengeuka kwa sababu Quran anayatambua maagano yote, na ushahidi ni huu hapa:- " Allah! Hakuna mungu isipokuwa Yeye, aliye hai na wa milele. Amewafunulia kitabu chenye ukweli kinachothibitisha yale...
  14. Kidbwenga

    1500 years Old Bible found in Turkey

    kumekuwa na kawaida kwa ulimwengu wa Kiislamu kufanya kila juhudi kuonyesha kwamba Biblia imepotoshwa, ingawaje jambo hilo si kweli hata kidogo. Ukiachilia mbali makosa ya kibinadamu ya hapa na pale ambayo yanaingia kutokana na ukweli kwamba Biblia imetafsiriwa na inaendelea kutafsiriwa mara...
Back
Top Bottom