Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

sir Ganto G

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
573
113
Habari wadau.

Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?.

Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili.

Natanguliza shukrani.
 
Habari wadau.

Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine.Je mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokithi kuhamia wizara husika?.

Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yoyote mwenye taarifa na hili.

Natanguliza shukrani.
Liweke vizuri swali lako au Uzi wako uweze saidiwa kwa ulivyouliza ni sawa na kuuliza Mimi ni police nipo wizara ya mambo ya ndani je naweza ahamia wizara ya kilimo?
 
Habari wadau.

Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?.

Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili.

Natanguliza shukrani.
Ninavyojua,unaweza kutegemeana na aina ya fani ,uhitaji wa wizara unayohamia kwa maana ya nafasi. Ila nashauri,subiri matokeo ya uhakiki wa watumishi yakamilike,otherwise it is a game of chance!
 
Mbona swali liko wazi sana,,labda nirudie....Je mtumishi wa serikali anaweza hama kutoka wizara moja kwenda nyingine?
 
Ninavyojua,unaweza kutegemeana na aina ya fani ,uhitaji wa wizara unayohamia kwa maana ya nafasi. Ila nashauri,subiri matokeo ya uhakiki wa watumishi yakamilike,otherwise it is a game of chance!
Thanks.
 
Habari wadau.

Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?.

Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili.

Natanguliza shukrani.

Umeguswa na uhamisho wa bandarini kwa njia moja au ingine mkuu?
 
Kuhamia inawezekana..but unapitia kichakato yote ya ajira ikiwemo kuapply kazi...kuwa shortlisted kama unavigezo na interview...itz not like kuhama tu...
Na pia anapaswa kupitisha barua zake za kuomba hiyo kazi kwa mwajiri wake,hapo ukishinda huo usaili ni rahisi kutoka wizara moja kwenda nyingine au Agency moja kwenda nyingine...
 
Na kama mimi ni mtumishi nipo likizo bila malipo sekta binafsi,nalikizo yangu bado aijaisha je mimi ni mtumishi hewa?
 
Habari wadau.

Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?.

Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili.

Natanguliza shukrani.
*** Inawezekana kabisa. Kwa maelezo ya utaratibu wa kuufuata soma Standing Orders For Public Service.
Kama huna kitabu cha Standing Orders, waweza kukipakua moja kwa moja ktk Google
 
Duuuh!!! Humu ndani ukiingia na hasira zako zote zinaisha.
Liweke vizuri swali lako au Uzi wako uweze saidiwa kwa ulivyouliza ni sawa na kuuliza Mimi ni police nipo wizara ya mambo ya ndani je naweza ahamia wizara ya kilimo?
 
ninachojua mfanyakazi hawezi kuomba kuhama wizara (inakuwa ngumu) lkn serikali inaweza kumuhamisha mfanyakazi wizara na akahama kutoka wizara 1 kwenda nyingine
 
Back
Top Bottom