MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
Waziri wa utumishi na utawala bora amepeleka kipingamizi Leo mahakamani baada ya Mahakama kupanga tarehe 14/12/2016 kusikiliza kesi hiyo iliyohusisha waajiriwa wa kanda ya Mahakama ,Afya,mikoani nk waliosainishwa mikataba ya kazi na kuanza kufanya kazi serikali baada ya mwezi mmoja walisimamishwa kazi kwa kigezo cha uhakiki wa watumishi hewa walipofatilia baada ya uhakiki waliambiwa wamefukuzwa kazi hivyo kuamua kwenda mahakamani kutafuta haki baaada ya kwenda utumishi na kupewa majibu ya kwamba swala hilo halipo ofisini hapo lipo kwa Rais Leo angellah kairuki amepeleka pingamizi mahakamani ili kesi isisikilizwe Mahakama imesema hiyo pingamizi Haijakizi matakwa ya kisheria na mahakama kuamua kesi hiyo kusikilizwa tarehe iliyopangwa tangu wafukuzwe kazi Leo huu mwezi wa sita wapo nyumbani.