Recent content by kidaringo

  1. K

    Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

    nawakubali chadema, lakini sijawahi kuiona katiba yao ya chama Nipo pamoja na chadema
  2. K

    Amatus Liyumba na Mkewe wagombea mali

    ni kama filamu ya kihindi vile,ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,mwacheni ahangaike mwisho wake atalala chariiiiii......
  3. K

    Nani anasema umri siyo tatizo katika mahusiano?

    Nina miaka 33my wife has 42 years of age we real love each other, we are happy family, age ain't nothing but a nomber, guys love doesn't ask why!
  4. K

    Itakavyoandikwa Historia ya Tanzania mwaka 3015

    very interested story, ninahofu kama watapata muda wa kusoma au ndio utumwa, ama ukoloni mambo leo utakuwa umekolea.
  5. K

    Dar es Salaam: Serikali taabani kifedha 2013/2014

    Acha ujuha, hiyo ni mikopo ambayo bado vitukuu wetu watalirithi hilo deni
  6. K

    Mh. January Makamba anamdanganya nani?

    Dawa ni kuwapiga chini wabunge wote wa chama cha mafisadi! hawafai hao wote wanafiki,ni kama familia ya mganga wa kienyeji mke anaroga Baba anajidai kuagua but the truth is wote ni wachawi
  7. K

    Msaada wa haraka: Nataka kukata mkono wa sweta, mpenzi wangu hataki!... Nifanyeje?

    Kalitoe haraka sanaa...,natamani nikuchape hata viboko,kwanza unamnjunjaje huyo kilaza wako!
  8. K

    Mchumba wa kaka yangu mkubwa, she is in love with me

    Sasa hapo unachanganyikiwa nini! umeshasema ni demu wa Kaka yako, right? Acha kujishaua huyo shem wako malaya amekutamani tu so mchane live kuwa humtaki
  9. K

    simuelewi

    Jana ilikuwa siku ngumu kwangu,mpenzi wangu baada ya kuishi nae kwa muda wa miaka 3, Jana alinitamkia tuachane anadai mi niko busy sana kiasi sina muda na yeye ukweli tumefanya mambo mengi pamoja tuna nyumba na kiwanja kimoja ila yeye anadai eti tubaki kuwa marafiki na tusiache kuwasiliana...
  10. K

    Mwanamke wa kirangi

    nasikia wana kamchezo ka kukeketwa,kuhusu kutoa uroda kwa marafiki jiandae kwa hilo mi nilishawahi kuwa na mpenzi mrangi dada yake naye akawa anataka mpomongo wangu but ckumpa hiyo nafasi so jipange sanaaaa.......!
  11. K

    Kuwa single ni raha jamani!

    Acha kujisahaulisha,u can't live all along some time u must find some one who can take good care of u,understand u and much more the one with truly love,au unajichua?!!
  12. K

    Uchumi wa Arusha umekwisha tuufanye kuuokoa???

    mbona mtoa mada kama analalamika hivi,watu wa Arusha wana haki ya kuchagua watu au chama wanachohisi kitawaletea maendeleo.Jambo la msingi ni polisi kutambua wajibu wao waache kupelekwapelekwa
Back
Top Bottom