pointkwani kuuza chako kuna ubaya ?
Kwanini furaha iliondoka?LIYUMBA ANATIA HURUMA SANA ! maisha yake yako kwenye fadhaa kubwa, ana kila kitu maishani bali furaha iliondoka ndani ya moyo wake.
Dhulma mbaya.....inakula taratibu....Kwanini furaha iliondoka?
nyumba ndogo?daah jamaa kumbe ufisadi hadi kwe mapenzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Yasemekana tatizo Amatus hataki kuwaonyesha mafichoni anakoishi na nyumba ndogo kwani alihama Nyumbani kwake pindi alipotoka jela na Hana mawasiliano na mtu hatumii simu ya mkononi wala landline phone .sasa wanafamilia wako wanahofia Nyumba ikiuzwa hawatapata kitu alisikika mkeo akilalamika kituo cha polisi wazo hivyo huenda sakata likachukua sura mpya na kuibua Vioja vingi
Yasemekana tatizo Amatus hataki kuwaonyesha mafichoni anakoishi na nyumba ndogo kwani alihama Nyumbani kwake pindi alipotoka jela na Hana mawasiliano na mtu hatumii simu ya mkononi wala landline phone .sasa wanafamilia wako wanahofia Nyumba ikiuzwa hawatapata kitu alisikika mkeo akilalamika kituo cha polisi wazo hivyo huenda sakata likachukua sura mpya na kuibua Vioja vingi