Nani anasema umri siyo tatizo katika mahusiano?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima etc. You know your age? And bla bla bla!!!

Lakini sasa mimi ni yuleyule kijana nina miaka 25, lakini nina date na mademu wenye miaka 30 na pengine miaka 40. Kitu ambacho naambiwa na hawa hawa now, Age is just a Number, kitu kinachojalisha katika ndoa ni upendo.

Ladies why?

Aminia!

Mkuu wakati ule injini zao zilikuwa hazijaanza kusoma mileage walikuringia sasa wameona injini zina mileage za kuhitaji Overhaul ndiyo wanajua umri sio kigezo cha mapenzi.

Na wewe anza kuwaambia ujana mle na nani uzee mle na mimi.
 
Hao hao..! Mi kwangu Mambo ya Age is just a number hayapo..!

Kutembea na mwanaume niliyemzidi hata mwaka mmoja kwangu HAPANA..!
 
Hahahahaaaaa
 
Hivi kikombe cha babu bado kipo?? maana kwamtoro nae kama binadamu anastahili kikombe haraka!!
 
Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima etc. You know your age? And bla bla bla!!!

Lakini sasa mimi ni yuleyule kijana nina miaka 25, lakini nina date na mademu wenye miaka 30 na pengine miaka 40. Kitu ambacho naambiwa na hawa hawa now, Age is just a Number, kitu kinachojalisha katika ndoa ni upendo.

Ladies why?

Aminia!

Kwa kifupi..

Sababu at 15 you are underage na not very accountable kwa chochote...At 25 you are a matured grown man who is legally responsible and accountable for all your decisions and actions
 
Sasa kwamtoro ulitaka ubemendwe? Wanaoonekana wajanja leo, walikuwa wajinga kipindi kile. Ungekubaliwa that time leo usingekuwa kwamtoro huyu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kwamtoro, Condom at that age of 15 ilikuwa inakutosha? Hawa wadada wanajua kwa age ya 25 at least mtarimbo unakuwa shabashii
 
Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima etc. You know your age? And bla bla bla!!!

Lakini sasa mimi ni yuleyule kijana nina miaka 25, lakini nina date na mademu wenye miaka 30 na pengine miaka 40. Kitu ambacho naambiwa na hawa hawa now, Age is just a Number, kitu kinachojalisha katika ndoa ni upendo.

Ladies why?

Aminia!

ulipokuwa na 15yrs ulikuwa MINOR[below legal age ya consent] so hapa age does matter and its not just a number.
 
Hao hao..! Mi kwangu Mambo ya Age is just a number hayapo..!

Kutembea na mwanaume niliyemzidi hata mwaka mmoja kwangu HAPANA..!

Maneno tu hayo, au ni kwasababu tunatumia avatar na majina ya uwongo?
 
Naona weekend hii watu watakuwa wamejaribu kufuata watu wakubwa zaidi yao sana .....
 
Hahahahaaa.... wew ado hayakukuta...
Inaonyesha bado upo in that age ya kujiona keki
 
Back
Top Bottom