Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Aluta continua, mpaka wakae.sijafika Arusha ila nadhani Mbeya nizaidi ya Arusha maana watu wengi hawakuwa na taarifa na huu mkutano, walituonea wivu sana mitaani. Labda daftari lisiboreshwe otherwise magamba hawata kata hata moja Mbeya. Coz maeno yaliyokuwa ngome yao sasa ni kinyume chake