tupia baadhi ya maneno ya nyimbo za zamani.(lyrics)a.k.a ''zilipendwa''

intro ya sebene la zilipendendwa enzi za KIMULIMULI BENDI mkoani iringa

"tout le monde le verre mere,,,, le verre mere......
"avanyalukolo kamwene kamwene".........

ee maaaama ndipulikeee eee ndipulike mbuguswaaaaaa,,,,,x2
wanyakwidodi, image, bokomnemela mwipovali????.......
(PDG) pedeshee KUNDULUDILO na kati ya BABANUSA wapi papaaa Mung'anzagala.....

hilo goma lilikuwa likishushwa pale iringa mjini basi linakusanya watoto wote wa tosa, iringa geliz, etc
bendi ilikuwa na wanamziki nguli akina kitime, zahir ali zorro etc,,, kumbukumbu zangu zinaonesha ndo bendi iliokuwa inaleta upinzani haswa kwa ile staili ya soukoss iliyokuwa ikirindima kipindi hicho kwa wanamuziki toka congo
 
Back
Top Bottom