Recent content by Kidafani

  1. Kidafani

    CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

    Kupandisha bendera kwenye vijiwe sio maana yake hiyo, ila ni ishara ya kukubalika zaidi, kama unabisha kaweke ya kwenu. "mikataba minono ya kibiashara na wageni nje", umetumia maneno mengi kufikisha ujumbe wako, kwa ufupi; mmekosa wale wateja wenu kuwauzia nchi.
  2. Kidafani

    Sheria inayohusu siasa vyuo vikuu, tanzania?

    Naomba msaada wa kueleweshwa: siasa vyuoni inakatazwa na sheria gani? Inakataza to what extent (inakataza nini hasa)? Na haki ya kiraia ya kushiriki kwenye siasa kwa wanavyuo wanaipata vipi?
  3. Kidafani

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Napenda kuelewa zaidi na hakika ntajitahidi suala hili lifike panapoweza kulipatia ufafanuzi zaidi na kuwa msaada kwa wanawake wahanga wa namna yangu, ili iwe sehemu ya ukombozi wa Mtz wa kike.
  4. Kidafani

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Please, kuna uhusiano gani kati ya kuzaa na kuingiziwa vidole, naomba msaada kuelewa kwanini hasa vitumike vidole? Tena baada ya kuvua nguo zote?
  5. Kidafani

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Please, naomba usinifanyie hivyo, na sio lengo ya Jf hilo.
  6. Kidafani

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa...
  7. Kidafani

    Wazo la kufungua matawi ya CHADEMA kwa njia ya mtandao katika ofisi za umma

    Nahisi umeandika kabla ya kufikiri, kanusha kwa kubainisha hiyo unayoita nyia ya ccm, au thibitisha kuwa sasa ndo umefikiri kwa kuwa kutoandika.
  8. Kidafani

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Binafsi nachukia sana kuwa chumba kimoja na mtu anayekoroma akilala, Karibuni kila nikilala na mtu chumba kimoja, analalamika kuwa mi nakoroma sana. Nini hasa sababu ya kukoroma usingizini?
  9. Kidafani

    Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

    Kwanini mahakama ya kiislam inataka kuwepo kikatiba hasa? Kwanini wasiziendeshe ndani ya uislam? Indirectly ndo kutaka kuipa serikali dini?
  10. Kidafani

    Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

    Napata shida pia kukubali kuwa hayo ndo mawazo ya mzee sasa!!!!!
  11. Kidafani

    Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

    R I P Sumari
  12. Kidafani

    Mbowe ndani ya Bunge

    Kura ulipiga?Hakika bora mtu akutukane kwa maneno, kuliko kwa matendo.
Back
Top Bottom