Kuingiziwa vidole ukeni.

Kidafani

Member
May 30, 2011
28
9
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?


Naomba ushauri wa Dr.
 
Pole bana huyo jamaa muhuni tuu, alitaka kuichezea tuu pembejeo yako, vipi hakuisifia na kuomba namba yako?
 
hii tabia ndo maana inanifanyaga nimpige biti my wife wangu kwenda kwa madokta wa kiume
 
A host of ethical issues bordering on a thinly medically disguised rape.

At the minimum, such procedures should be performed by a professional of the same sex, not that a butch gyno couldn't raise the same concerns.
 
Hahahaha,mbona hiyo ni kawaida,tena ukibeba mimba,DR anaingiza vidole kuangalia njia.
 
Ulichokuwa ukikitaka kakifanya sasa tatizo liko wapi..

1..Utaratibu huo uko shaka hamna na alitakiwa aingize dole kubwa ndio linatoa uchafu na kuingiza uchafu mbadala
2..Napita nitarudi baadae
BY MIMI DR MGOMO
 
Nafikiri haijawa njema kabisa. Kwanza kuvua nguo zote wakati anataka kuangalia maumivu ya sehemu fulani haileti kwenye akili ya kawaida.
Nashauri wakati mwingine ukatae ikiwezekana uombe kuchekiwa na Dr wa jinsia yako. Pole
 
Kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida Dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.
 
At the minimum, such procedures should be performed by a professional of the same sex,.

Mkuu hapo hapana. Wanawake kwa wanawake sawa lakini hicho kidole cha tumbo jamaa anitie kidole??....sipati picha lazima zitapigwa hapo, bora mdada ndio anikague aisee...uwiiiiii...noumer!!
 
Back
Top Bottom