Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Join Date : 28th June 2012
Posts : 325
Rep Power : 405
Likes Received88
Likes Given4
Posts : 325
Rep Power : 405
Likes Received88
Likes Given4
Tatizo lenu mnafikiria ni CCM tu, Arusha inaweza kubebwa na mwingine sio lazima CCM
Chadema ni kama vile msimu wa mvua, soon kitakuja kiangazi, tutakisahau milele
umeandika kama unharisha .......nahisi hata ar. huijui silly..sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.
Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.
Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
CHADEMA ni chama cha matusi, yawezekana Mwigulu akawa ni mwanachama wa CDM, Lusinde nae ni CDM. Mtoa uzi nahisi hakufanya research bali kaandika mawazo yake na uhitaji wake. But the reality wala hakuhitaji kuumiza kichwa saana, CCM Arusha ni sawa na kupeleka UDP Zanzibar! Ni mawazo yangu tu ndugu yangu Stroke!
Lakini mbona Lema ameanza kustaarabika? Msimuangushe jamani, nendeni nae hivyo hivyo mpaka ajirekebishe kabisa. Siku hizi ameibukia mropokaji mpya, mzee Slaa.
Chadema Arusha wanaitaji kubadilika.
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.
Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.
Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.
Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.
Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
Chadema ni kama vile msimu wa mvua, soon kitakuja kiangazi, tutakisahau milele
Kupandisha bendera kwenye vijiwe sio maana yake hiyo, ila ni ishara ya kukubalika zaidi, kama unabisha kaweke ya kwenu.
"mikataba minono ya kibiashara na wageni nje", umetumia maneno mengi kufikisha ujumbe wako, kwa ufupi; mmekosa wale wateja wenu kuwauzia nchi.