Mbowe ndani ya Bunge

Mbowe ndani ya Bunge

hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?

Kaulizwa swali jibu lake kasema 1+1= 2 simple. Haya ndio majibu mepesi mepesi ya Magamba
 
Tanesco wamenifanya masikini kabisa,Nitakapoanza kulipiza Kisasi kwa Tanesco nani atakuwa supporter wangu?
 
amewataka wataalamu wa serikali wamtafute awasaidie kuandaa regulation ya bulk procurement
 
amemwambia waziri awabane walio chini yake!anasema kuna kampuni zimeanza kuagiza mafuta ya ndege!ni usanii!anaongea haraka haraka sana siwez hata ku summarize!
 
Jamaa anajifagilia balaa!anasema bulk procurement ni kimeo!anasema yy ndio pump over wa kwanza tanzania
 
anasema gesi ipo ya kutosha ila tumeikalia!tpdc haijawezeshwa!anasema gesi asili hatuimiliki!anaongelea ndoa ya tpdc na panafrica!anasema ina mashaka!so iundwe kamati akipatikana mtu atashughulikiwa!
 
sasa anachangia Lembeli!ngoja nisikilize!anasema katumiwa ujumbe wa sms na mpiga kura wake kuwa asiunge mkono hoja!
 
sasa anachangia Lembeli!ngoja nisikilize!anasema katumiwa ujumbe wa sms na mpiga kura wake kuwa asiunge mkono hoja!
Amesema haungi mkono hoja, uzulumwaji wa fidia, umaskini maeneo yalipo migodi ya dhahabu ni sababu mojawapo
 
Nyamwongo inatengenezw kahama asema kamishina wa madin anachakachuwa!
 
Laiti mgao usingekuwepo na mimi ningeshuhudia hayo mliyoyaona ndugu zangu..
 
kuna mbunge anaaomba mwongozo kwamba mkataba kat ya tpdc na panafrican uvunjwe!
 
anasema asilimia 60 ya mapato ya madini yarudishwe kwenye benk za ndani ili kulinda currency yetu!
 
Gesi!anamshukuru mnyika na makamba!anawafagilia!anasema kuna tatizo kwenye mikataba ya gesi!anaongelea orca!anasema n kampun mama ya panafricanenergy
 
anasema ges inamilikiwa na tpdc!anasema investigation ya kina ifanyike kwenye mkataba kati ya panafrica na tpdc.
 
hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?
Atakuwa waziri wa nishati na madini wa viti maalumu labda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom