Hili nalo safari hii CHADEMA wanajaribu kuzi-grab kura za waislamu. Hijacking staili, wakipata wawapige danadana kama ccm na jk. Hili swala msilichezee kabisa ni moto mkali, safari hii ccm wamepeta nalo na kulipigia danadana kwa sababu walikuwa hawana wa kushikia bango, wangemshikia je bango JK kwamba anawadhulumu?
Huo msimamo wa JK haufai; inatakiwa itambulike kikatiba na kisheria..otherwise ni changa la macho. ndesa amewaelewa waisalmu sijui lakini kama ataweza kupeperusha vema au itakuw akama alivyofanya mrema
ukiristo ni Chadema?
ukiristo ni Chadema?
Siamini kama ni kweli haya ni maneno yanatoka kinywani mwa Ndesamburo!
cdm inajua wazi kuwa haikubaliki katika jamii ya waislam walio wengi na ni dosari hivyo inajaribu kutumia matatizo ya waislam ili kupata support yao.kulikuwa na thre humu inauliza chadema inajiandaaje kupata kura za waislam 2015,naona ndio majibu yameanza kupatikana.