Recent content by kichwapanzi

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa jinsi ya kudownload movie kwa simu

    Je kwa pc natumia nini kudownload movie
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kigoma mjin nije moshi mjini au arusha mjin
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wana jf, natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi aende kigoma mjin (ujiji) awe wa mkoa wa kilimanjaro moshi mjin au arusha mjini
  4. K

    JamiiForums Tanzania Chuo kizuri cha veta

    Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
  5. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba na 2020

    Huyu makamba nitamtoa jimbo LA bumbuli sasa mm nitakuwa mbunge
  6. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba na 2020

    Mm baba nimechoka hata masikin wanahaki sasa ya kuwa wabunge
  7. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba na 2020

    Acha mm makamba ninamtoa kwenye jimbo la bumbuli kuanzia sasa mbunge wa jimbo LA bumbuli ni mm karata mzawa wa kijiji cha funta
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya chakula Tanzania imekuwa mbaya sana

    Nielekeze nije kununua, gunia shingapi
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi machine ya kubeti shingapi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari wana jf, naombasaaada kwa MTU ambaye ameshawahi kulima vitunguu maeneo ya njiapanda au kileo kama unaenda mwanga. Kuanzia gharama za kukodi shamba palizi mbegu na kiss cha mavuno...asante
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yasema haihusiki na ajira za walimu

    Mhandisi Stella Manyanya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imesema haihusiki na utoaji wa ajira za walimu nchini, isipokuwa inachokifanya ni uhakiki wa taarifa za walimu wenye sifa za kuajiriwa serikalini. Akizungumza na EATV leo, Naibu Waziri wa Elimu, Mhandisi Stella Manyanya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pata zawad ya gar

    CAR FROM JAPAN : Xmas Car Giveaway 2016,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Ukiingia moe.go.tz unalikuta
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Msaada, computa yangu inakua nzito kufungia mafaili

    How
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Msaada, computa yangu inakua nzito kufungia mafaili

    Nipo arusha
Back
Top Bottom