The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,735
- 14,019
Ninanusa harufu ya mtu huyu kupenya mgombea uraisi 2020 kwa tiketi ya CCM ,Aidha kutokana na mfumo wa mkuu kuendesha shughuli bila kujenga kundi lake lenye nguvu(tuliyozoea) ,Kwa mara ya kwanza nadhani Mh Mkubwa aweza kuwa mgombea wa kwanza kupata upinzani ndani ya chama kupeperusha bendera hiyo 2020.
Sababu za kuwa na maoni haya ni nadhani kuna vigogo wengi wa chama hiki nguli system mpya imewareject hasa waliokuwa na msimamo mkali juu ya neno gumu kwenye dictionery ya CCM maarufu kama LOWASSA Mfano Sophia lion ,Kaburu wa kigomani etc
Aidha kuna vijana wengi waliokuwa na matarajio ya ukuu wa wilaya na unono kama huo hawa waweza kuwa mtaji mzuri kwa vigogo wowote watakao amua kuanzisha (kamatia fursa) mchakato wa kutwaa kiti 2020 .